stellahthatcher
Senior Member
- Oct 14, 2015
- 168
- 164
Kwa mtazamo wangu wanaume mnafurahia zaidi na ndio maana huwa mnachanyikiwa mkiona K inapita.Sina hakika kama kweli sisi wanaume tunafurahia ngono kuliko wanawake.
Tupo wengi, ngoja waje wakuu.
Mkuuu kipimo ulichotumia Cha sisi kuchanganyikiwa tukiona k inapita sio sahihi hata kidogo,Kuna wanawake wengi tuu wanachanganyikiwa wakiwaona wanaume type yao na wanawaangalia Sana, kwahiyo ndio tuseme hao wanawake nao wanafurahia ngono?Kwa mtazamo wangu wanaume mnafurahia zaidi na ndio maana huwa mnachanyikiwa mkiona K inapita.
wewe stella juzi juzi ulikuja kutafuta mme wa kukuoa leo unaleta uzoefu wako wa mambo ya ngono wewe stella wewe Mungu anakuonaKumekuwa na dhana kuwa wanaume ndio wanaofurahia ngono zaidi ikilinganishwa na wanawake ambao sio rahisi kufikia upeo wa raha ya kujamiiana. Aidha imebainishwa kuwa wanaume chini ya umri wa miaka 60 hufikiria kuhusu ngono mara isiyopungua moja kwa siku.
Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Florida State University ulibainisha kuwa wanaume wanafurahia ngono kuliko wanawake. Hii ni kwa sababu ya maumbile kuwa wanaume hawakumbwi na mawazo mengi wanaposhiriki ngono.
Kwa upande wao, wanawake hutafuta wanaume wanaoingiliana nao kihisia na mtu atakayejitwika jukumu la kuwalea watoto. Aidha, utafiti mwingine ulionyesha kuwa wanawake wengi husononeka wanaposhindwa kuwatosheleza waume wao kuliko wanaume wanaposhindwa kuwarithisha wanawake wao.
Nipe maoni yako, unadhani nini kinafanya wanaume wafurahie ngono kuliko wanawake?
Siyo kwel,tofautisha kutaman na kufurahia,Wanaume weng wetu tunataman ila kwenye mapenz tunafurahia kiwango kidogoKwa mtazamo wangu wanaume mnafurahia zaidi na ndio maana huwa mnachanyikiwa mkiona K inapita.