10. Amekiri kutojua kwa nini nchi yetu ni masikini
11. Aliwatukana wafanyakazi kwa kuwaita mbayuwayu
12. Hana haiba wala uwezo wa kuwafikia marais wa nchi zingine za Afrika Mashariki
13. Hana uchungu na maendeleo ya nchi yetu
14. Hataki kuulizwa maswali ktk midahalo au kampeni za kisasa
15. Ana upendeleo kwa maswahiba wake na visasi kwa asiowapenda
16. Hana legacy yeyote nzuri atakayoacha - atabaki kuwa rais bomu kuliko wote waliowahi kuongoza Tanzania
9. Anafurahia kutambulishwa kuwa ni Dr. wakati hajawahi kuingia darasani kusomea Phd.1. Ameingia Ikulu 2005 kwa wizi wa kura.
2. Ameingia Ikulu 2005 kwa fedha za EPA.
3. Amekiuka katiba kwa kutetea ufisadi/mafisadi.
4. Uteuzi wake wa nafasi mbalimbali ni kwa uswaiba.
5. Serikali yake ni ya anasa(safari za nje,ukubwa wa serikali).
6. Ameshindwa kutekeleza ahadi zake za 2005.
7. Aliwachafua wana CCM wenzake katika kinyang'anyiro cha 2005.
8. Kampeni zake zinafanywa kifamilia.
WEWE UNAMUONA JE?
1. Ameingia Ikulu 2005 kwa wizi wa kura.