sadalla
Member
- Nov 24, 2012
- 78
- 71
Daa! Leo napumzika rasmi kubeti. Sababu ni hizi hapa.
1. Tangu nianze kubeti uwiano wangu wa kula na kuliwa ni 1:5.
2. Uhuni ni mwingi, timu zinajifungisha au hazifungi au hazifungani ( match fixing) refer Kwa tuhuma za Udinese.
3. Nimekuwa addicted. Nikikosa ela ya kustake na ya bando nakosa amani ya nafsi. Furaha yangu ni kucheza tu hata kama napigwa.
4. Nimeshindwa kuidhibiti tamaa. Nikila naendelea kucheza hatimaye naliwa yote. Usukaji wa mkeka chini ya odds 1000 naona nachelewa kutajirika.
5. Simu inanishughurisha mno, Kuna baadhi ya mambo ya kimaendeleo na kijamii Yanadolola.
6. Ndoa kuwa mashakani. Wakati wa tendo sitendi haki, nafanya harry niwahi kucashout.
7. Huwa ninalala na maumivu makali sana pale ninapocashout stake iliyopungua halafu timu ikashinda dakika za mwishoni AU niache kucashout kukiwa kumenona ikapungua mpaka cash out ikawa blocked.
8. Mwisho lakini si Kwa umuhimu, naokoa mahusiano baina yangu na Mungu.