Habari wana MMU,
Baada ya kuona kuwa kumekithiri matukio kama, mauaji,vipigo,kufokewa,kutukanwa,kudharuliwa kwa baadhi ya watu nimekuja kugundua yafuatayo
Hasira ina hasara kubwa sana kiafya!!!!
Wengi huwa hawana furaha ila hawajui chanzo cha wao kukosa furaha ni kitu gani!
Basi hapa nakuletea baadhi ya niliyogundua kuhusu hasira na msongo wa mawazo kwanzia vyanzo,athari na matokeo,njia nzur za kuzuia hasira na njia mbaya za kuzuia hasira
1.Mtu mwenye hasira hupata maradhi ya kiafya kama
-Insomnia
-depression
-heart attack
-ulcers
-fatigue
-blood pressure disorder
Kwa jamii mtu mwenye hasira au msongo wa mawazo anapatwa na
1.kugombana na wasiomsababishia hasira
2.kupiga
3.kuua
4.kujeruhi
5.kutukana
6.kufokea wengine
7.kuwakera wengine kwa makusudi
Zifuatazo ni njia mbaya za kupunguza hasira au msongo wa mawazo
1.Vilevi
2.sigara
3.Kutukana
4.kufokea wengine
5.kubwatuka
6.kutukana
7.kuwachukia wenye kuleta msongo wa mawazo
8.kununa
Hayo ni madhara ya kuwa na hasira mtu mwenye hasira uwezo wa kufikiri hupungua na hufanya vitu kwa kukosea zaidi kuliko kupatia!!
Wafanya kazi wengi maofisini wanamatatizo ya kisaikolojia ola wengi hawajijui!!!
Zifuatazo ni sifa za watu wenye matatizo ya kisaikolojia
1.Hukasirika bila sababu za msingi
2.Hutaka kubadili tabia za watu wengine kwa lazima
3.hutukana hovyo
4.Hawawezi kutabsamu akikutana na mgeni ofisini au nyumbani
5.hupelekesha wenzao waliopo chini yao
6.Hulazimisha hoja kwenye mijadala
7.Hawawez zuia hasira hata kwa kitu kidogo
Njia nzuri za kupunguza hasira na msongo wa mawazo
1. Kula vizuri
2.kuweka ratiba ya kujipa furaha
3.Kukikwepa chanzo cha hasira
4.kukubaliana na chanzo cha hasira kama msiba au tabia za watu wengine ambazo huwezi kuzibadili
Vyanzo vingine vya kujipa hasira mwenyewe
1.kutaka kubadiliaha tabia za wengine kwa lazima
2.kutegemea furaha alete mtu mwengine badala ya wewe mwenyewe
3.kuweka mategemeo makubwa kwa wanadamu mfn kuomba kazi kisha mtu akakataliwa huamua kumchukia mwajiri!! Kisha hasira hiyo huzalisha sumu na kumdhuru mwenye kukasirka!!!!
Watu wengi hupata msongo wa mawazo kwa kutaka wengine wawe chanzo cha furaha zao!
Watu wenye matatizo ya kisaikolojoa wapo negative siku zote huona ugumu kwenye kila hali
Hayo ni baadhi niliyogundua watu wengi wanakosa furaha kwa kujitakia!!!!
Hitimisho
Furaha yako ipo mikononi mwako hakuna mwenye wajibu wa kukupa furaha
unaetaka akupe furaha ndiyo wa kwanza kukufanyia maudhi
Umetuma sms kwa mtu hakujibu ukikasirika siyo suluhusho la tatizo
na ukikasirika unazalisha sumu inaua kinga ya mwili wako mwenyewe
Kwa mantiki hiyo wenye afya ndiyo wenye furaha
Na wenye akili chanya hata wakiugua hupata nafuu ya haraka
Mtu mwenye mtazamo hasi hujidhuru mwenyewe kwa kubeba chui moyoni!!
Chanzo cha furaha ni wewe mwenyewe ukitaka uwe na furaha mpaka mwengine aamue basi umepanga kuwa na huzuni!!!!
Umemtumia mtu sms hajakujibu unakasirika !!! Kukasirika siyo suluhisho