plumber hydrogen
JF-Expert Member
- Feb 17, 2022
- 913
- 1,591
Hapo ita fundi angalie tatizo nini pia angalia kama maji katika tundu la choo kama yapo ya kutosha kama hakuna basi pana itaji malekebisho kuondoa hiyo halafuSina hamu ata kukaa ghetto yaani. Harufu kali sana.
Umenifahamisha vizuri,kiko choo hakitumiki sana,ndio kiko hivi.Kumbe kinasababishwa na kutotumika mda mrefu.Habari ndugu zangu wa JF..Leo tuzungumzie sababu za harufu chafu ya choo kurudi ndani asa katika vyoo vya kuchuchumaa au Asian type..zifuatazo ni sababu za harufu chafu kurudi ndani..
1.Trap kutoboka (leakage)hii upelekea maji kupotea hii yanayo patikakana ndani ya trap (Water seal) ambayo uzuia harufu kurudi ndani ya nyumba haya ni maji ambayo umwaga baada ya kujisaidia kiasi flani ubaki kuzuia harufu..
Kuto kuseti vizuri trap hii upelekea maji kupungua na hivyo kushindwa kuzuia harufu kurudi ndani..
2..Flush cistern tank size za vyoo zimetofautiana endapo utaweka choo cha size ndogo pia flush tank pia weka dogo la kawaida hili ziendane katika kasi ya maji kusafisha kinyesi..ukiweka choo ambacho ni kikubwa weka flush cistern kubwa ziendane endapo choo kitakuwa kidogo ukaweka flush tank kubwa hii itasababisha maji yatoke kwa kasi na kusababisha maji ya baki kidogo sana kwenye trap..
3.kuto tumika choo kwa mda mrefu hii usababisha yale maji kwenye trap kupungua kwa njia ya enyevu nyevu...Kama una swali uliza...View attachment 2140815
Ndio mkuuWewe ni fundi wa hizo mambo kitaalamu kabisa
Baadhi ya mafundi ufanya bora liende awazingatii kanuni na ubora wa kaziNilikuwa na shida hiyo. Nikagundua P-Tap ilikuwa imetegeshwa vibaya.
Lakini pia kulikuwa na bomba la futi Tano Kati ya choo na P-Tap.. hili lilikiwa halisafishiki vizuri. Harufu ikawa inarudi ndani.
Pole mkuu hili tatizo la harufu kurudi ndani ni tatizo suguNiliwahi kuuliza hili swali humu kuna members wakanishambulia nikajihisi mkosaji, mpaka nikahofia kupigwa ban kumbe wengi wanahitaji hii elimu
PamojaAsanteeee kwa somo
Pia mwenyewe nime kutana nalo sana hili linatokana na sisi baadhi ya mafundi kuto zingatia ufanisi na ubora wa kaziMala nyingi tuna kutana na wateja ambao Wana sumuliwa na hii hali....
Kuna nyumba nilikuta hili tatizo.. Kilicho sababisha pale ni drainage system alio weka fund akiunganisha Bomba zote yaani Besen la kunawia +maji ya kuoga akaunga kwenye Bomba la soil (Choo)..
Kilicho tokea hakuweka trap pale kwenye floor na pia kwenye Besen hakukuwa na trap harufu iliyo kuwa una toka choon ikawa ime tamalaki humo ndani.
Hii ufanywa na mafundi either kwa makosa au kuto kujua mana Kuna mafund wengi wa kuunga Unga
Niliwahi kuuliza hili swali humu kuna members wakanishambulia nikajihisi mkosaji, mpaka nikahofia kupigwa ban kumbe wengi wanahitaji hii elimu