Sababu za China kutoisaidia Urusi

Sababu za China kutoisaidia Urusi

Hahahahaha thubutuuuuu, China aungane na Urusi? Labda kwa maneno.

China hawezi kuungana na Russia sababu uchumi wa chini kwa zaidi ya asilimia 70 kwenye uwekezaji unamtegemea US na Ulaya.

Hapo bado soko la china kwa Ulaya na US, chini anauza Ulaya na US zaidi ya mara 4 ya kile anachonunua yeye.

Watu wa economics wanaelewa hapo nazungumza nini. Kumbuka mwanzoni mwa vita, China alitoa madollar kwa ajili ya wahanga wa Ukraine.
Russia haijawahi kuomba msaada kwenye vita. Hii sio vita ya kwanza kwa Russia. Russia imekuwa ikipigana vita enzi na enzi. Hata WWII hakuomba msaasa. Walimfuata tu na kunza kupigana upande wake dhidi ya Ujerumani baada ya pande zote kuanza vita Poland. Naona bado Poland inakubali kuwa katikati ya mvutano wa pande 2 kubwa. Sijui kwanini hawajifunzi.
 
Back
Top Bottom