Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,951
- 61,759
ha ha ha ha mkuu nimejikuta nacheka sana....mwanaume kuwa na mchepuko ni sawa na nchi kuwa na chama cha upinzani.
mwanamke kuwa na mchepuko ni sawa na nchi kuwa na waasi.
kumbuka ukiwa na mke anayekusumbu unafanya kama polisi wanavyofanywa.... kuhamishiwa makao makuu.... nae unamandisha cheo na kuwa mke mkubwa, mchepuko unaupa cheo cha mke mdogo na wakati huo huo unasajiri mchepuko mwingine.
hiyo ndo asili ya wanaume. rejea inapatikana kwenye bible akina sulemani na washiriki wake wote.
house girl ni msaidizi wa mke?
sio mke msaidizi, ila msaidizi wa mke. h aha ha . unaweza kumla wakati mkeo hayupo, akiwepo unamwacha.
ha ha ha sio ufuska mkuu,mfano ili -me- aridhike anataka magoli 5,ila uwezo wako wewe unavumilia goli moja,hapo si lazima mtu atafute msaidizi?Ufuska tu.
ha ha ha ki vipi mkuu?Uzuri siku hizi ngoma drooo..hatuchoshan akil Kama zaman
ha ha ha ha....mkuu unashauri nini kifanyike?Jifanyenyi mnajua kuchepuka harafu ukute huyo mchepuko wako ni make wa MTU sasa ndio uendelee kijidanganya ukichepuka na mkeo anachepuka vile vile life INA go on
Yaani hapa kila MTU aamue moja kama anaitaka mbingu au laa! Kama unaitaka mbingu baki na wali na tumaharage twako uendelee kujitafunia ndani kwako ila kama mbingu huitaki tafuna radha tofauti tofauti za duniaha ha ha ha....mkuu unashauri nini kifanyike?
ha ha ha ha,tatizo linakuja wewe unataka uende saba,yeye anata uishie mbiliYaani hapa kila MTU aamue moja kama anaitaka mbingu au laa! Kama unaitaka mbingu baki na wali na tumaharage twako uendelee kujitafunia ndani kwako ila kama mbingu huitaki tafuna radha tofauti tofauti za dunia
Na hii inaweza kuwa sababu kubwa ya mtu kuchepukaKila wakati yeye amechoka, mchepuko ni muhimu kwa afya ya mwanaume.
ha ha ha ha,tatizo linakuja wewe unataka uende saba,yeye anata uishie mbili
ha ha ha ha ngoja sisi tuendelee kutafuta pa kupunguzia hizo zingine[emoji23][emoji23][emoji23]tens una bahati eti uishie mbili kamoja tu kanatosha bana mambo yakutumika sana sio poa
Mnachosha bwana na sisi tunachepuka vile vile yawezekana hata tulisnza kabla yenuha ha ha ha ngoja sisi tuendelee kutafuta pa kupunguzia hizo zingine
ha ha ha ha sasa kama wewe unavumilia kimoja tu ukiwa ndani,huko mnakoenda nje mtaweza kupokea saba?Mnachosha bwana na sisi tunachepuka vile vile yawezekana hata tulisnza kabla yenu