Sababu ya kufa kwa waislam wengi gaza

Sababu ya kufa kwa waislam wengi gaza

Status
Not open for further replies.

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,894
Reaction score
2,806
Sababu kubwa ni kwamba Hamas wanawatumia watu wa gaza kama kinga ya kulinda makombora yao badala ya makombora kulinda watu wao. Hii inamaanisha makombora yanadhamani kubwa kuliko uhai wa mtu huko gaza. Hamas wanatumia sehem za raia kurusha makombora tofauti na wenzao waisrael makombora yanalinda raia wao na Makombora yote yanarushiwa sehem ya jeshi. Nawasii Jamii ya kimataifa kukemea Hamas kutumia binadam kama kinga ya makombora na Waislam wote tukemee hiki kitendo cha Hamas kuwa chanzo cha mauaji huko Gaza
 
basi raia ni wajinga wenyewe wanawaona hamasi wanaweka siraha zao kwenye makazi yao na wanawaruhusu kwanini wasiwafukuze wende wakapigane na israel huko kwenye ardhi ya israel shauri lao
 
Israel amewaambia raia wahame kwamba anakwenda kuangamiza majeshi na vifaa vya hamasi ambavyo vyote wamevalishwa wao. Hamasi anawaambia wasiondoke na walioondoka warudi, wanatii huku wakiona wenzao wanavyosambaratishwa. Elimu ni ufunguo wa maisha jamani.
 
Nani kakudanganya wanaokufa Gaza wote ni waislam? Hujui pia Gaza kuna idadi kubwa tu ya wakristo?
 
Nani kakudanganya wanaokufa Gaza wote ni waislam? Hujui pia Gaza kuna idadi kubwa tu ya wakristo?

Labda wanafikiria ukristo uko ulaya tu wanasahau kwamba pale ndiyo center ya dini zote tatu.

Palestina ina idadi kubwa ya wakristo, hata mke wa Arafat ni mkristo.
 
Aha haya asante kwa taarifa. Hata kule Naijeria ile shule ndiyo ilisababisha wale wasichana watekwe inabidi ilaumiwe ile shule kwa kuwaruhusu wale wasichana wajiunge nayo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom