Sababu ni boga mama au kunajengin? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sababu ni boga mama au kunajengin?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtaftaji, Jun 5, 2012.

 1. M

  Mtaftaji JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 207
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ndg zng dunia ipo ukingoni,mkoani lindi kuna mama amchoma moto mtoto wake wa kumzaa kwa kumviringa nyasi kavu mikono yote miwili na kumuwasha, akamfungia ndani bila kumpeleka hospitali kwa muda wa siku nne majirani watoa siri kwa vyombo vya usalama,mtoto wa kiume miaka 5 kwa kosa la kuchkua boga lote lilopikwa na kula bila ruhusa ya mama yake,mama ahojiwa na kusema kua hata yy haamini km ndio alomchoma na pia anawasa wakina mama wenzake asifanye alofanya yy,mbona manyanyaso juu ya watoto kwa mama zao wa zazi yanazidi siku hadi ck wana jf au ckuizi wakizaa hawapati uchungu?na je adhabu alopewa ni stahiki kwa mtoto?na je hali ngumu ya maisha inachangia?
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  so sad. .
   
 3. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  huyo ana pepo.
   
 4. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  sikuhizi wanawake wengi wana pepo la kukusa hruma leo hii nimesikia mama anamimba ya mtoto wake anatembea naye kimwli, siku hizi kusikia mama kachoma, kauna, mwanae nikitu cha kawaida kabisa. ni siku za mwisho upendo utaisha lakini mwenyekuvumilia ataurithi ufaulme wa Mungu
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Na hii imekuwa social evil ambayo ina-gain momentum kila kukicha ajabu tunaitreat kama ni individual issue lakini nina uhakika kabisa kwa jinsi inavyo sambaa ni wazi kuwa kuna social malfunction somewhere na isipofanyiwa kazi siku za usoni haitashikika. Sipati kuelewa mama mzazi kumfanyia mwlanae jambo kama hilo kama si masuala ya stresses za maisha na mengineyo.

  Tusitibu matokeo tutafute chanzo.......Wanaja ustawi wa jamii hebu tusaidieni. Matheory yenu mnayoyasomea huko chuoni yanazungumziaje hili suala
   
 6. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Ohhhhh maskiniii weeeeeeeeee,,,,,
   
 7. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  dah! haya ni matokeo ya maisha bora kwa kila mtanzania...
   
Loading...