Sababu na athari za wake zetu na watoto wetu wa kike kupenda sana chips za mtaani kuliko za nyumbani

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa wanaJF.Huku tukiendelea kushughulikia watumiaji madawa ya kulevya na mashoga, hembu tutizame sababu za wake zetu kupenda sana chips (yai, kuku) za mtaani kuliko za nyumbani.

Ni maajabu kabisa haya, et chips za nyumbani siyo tamu, za mtaani ndo tamu, kisa tu mazingira yake huwa machafu machafu.

Wengine hupenda sana wakaangaji tu wa chips, ambao mara nyingi huwa vijana, tena vijana ambao huwa wachafu wachafu tu.

Unaweza kukuta mwanamke nyumbani kwake ana uwezo wa kukaanga chips anazozitaka tena kwa namna apendayo, lakn chips za mtaani huwa zinawazuzua sana wanawake na watoto wa shule.

Ukisikia kesi za mimba za wanafunzi, michepuka..lazima hapo chips zililiwa tu. Faida ya wanawake kupenda chips huwa n mimba au kuchepuka. Na wao wanapenda sana.

Utakuta mwanamke kaolewa na mtu mwenye pesa zake,lakn anaenda kuhongwa chips ma kijana mvuta bangi,mchafumchafu tu. Nini kigeni au kitamu huko? Na ukitaka kugombana na mchepuko wako kirahisi, ukikuomba chips we potezea. Wanajali sana chips, sana.

Jamani jamani, chondechonde wamama na watoto wa shule /mabinti, chips ni hatari kwako. Ni bomu unalolitengeneza mwenyewe.

Nn kinatushinda wazazi kuthibiti hili?
 
Hii haitofautiani na kununua changudoa sinza mori ilihali umeacha mke mzuri nyumbani
 
Back
Top Bottom