William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400

- Juzi Rais wa zamani JK alipoenda Bungeni inasemekana alishangiliwa zaidi na Makamanda wa Chadema, kuliko hata Wabunge wa CCM tafsiri nyingi sana zimetolewa ku justify kitendo hicho na hii ya kuitwa itwa Ikulu kupata Chai na Juice, inatajwa kuwa ni mojawapo ukizingatia kwamba Rais wa sasa ameshasema kwamba ni wakati wa kazi tu sio kukaa kaa na kucheka cheka na kunywa Juice ikiwa ni pamoja na kubana matumizi,
- Nini maoni yako please?
le Mutuz