Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,920
Una mkopo/mikopo katikaTaasisi za fedha na pia una mkopo wa gari kutoka hazina ya serikali na mikopo yote hii unailipa kupitia makato ya mshahara wako wa ubunge.
Swali:
Mtu kama huyu asiponyenyekea na akafukuzwa uanacha na kisha akapoteza ubunge wake,mikopo hii atailipaje?
Je,yuko teyari kukatwa mafao yake?
Jibu:
Piga ua ni lazima anyenyekee tu hata kama haridhiki au ana kinyongo moyoni mwake na ndio maana wengi wakifukuzwa wanalazimika kukimbilia mahakamani.
Sheria kwamba mtu ukivuliwa uanachama na ubunge unaupoteza,ni sheria iliyolenga kuwafanya wabunge wawajibike zaidi kwa vyama vyao,viongozi wa vyama vyao na serikali za vyamao vyao(kwa wabunge wa chama tawala) kuliko wananchi waliowachagua.
Hii ni moja ya mapungufu makubwa ya katiba yetu ya mwaka 1977.