Nurudin Jr
Senior Member
- May 25, 2017
- 180
- 99
Kabisa kabisa ni kwelNi kweli kabisa mkuu uko right
Hao wanaofanya hivyo na bado wapo kwenye ndoa au wanaolewa basi wanaenda kutunza familia tu na sio mapenzi kama unavyofikiliMapenzi hayana formula wala fundi..
Wangapi wameolewa lakini bado wanafanya hayo..!?
Hahaha... Ati ubabe ubabe... Don't say that love..Na ubabe ubabe love..
[]ndo hivyo mkuu[]Ni kweli kabisa mkuu uko right
hivyo yaaniKabisa kabisa ni kwel
Wa kwanza Tena!Ni kweli kabisa mkuu uko right
Ndiyo hao kwa kutongoza wame wawenzao ni hodari kweli akipata namba ya simu utasikia nipo free tunaweza onana ?1-> Utumiaji mbaya wa mitandao ya kijamii √
2-> Kutokupenda kufanya kazi za nyumbani√
3-> Kujipara hadi sura yako ya asili inasahaulika √
Ni kweli wanaume hupenda mwanamke mrembo na mwenye kupendeza. Lakini hii haimaanishi ndio ujipodoe hadi uchukize. Kila kitu kwa kiasi chake kwa sababu kitu chochote kikizidi huwa ni sumu.
Jirembe kwa kiasi, hili litavutia watu walio-serious kutaka kukuoa, lakini ukiwa ni wa kujiremba hadi ukapindukia, hakuna muoaji atakaye kuta. Tena ikumbukwe kuna baadhi ya wanaume wao hupenda mwanamke asiyejiremba (wenyewe huita natural)
Hizi ni baadhi tu, na wewe unaweza kuongezea ili kuwakumbusha wasichana wanaotaka kuolewa √
DaaahWa kwanza Tena!
Mungu awasimamie aiseeee.....
Naunga mkono hilo la kutofanya kazi za nyumbani. Unakuta kila kitu house girl ndio anafanya. Mimi kuna watoto wa ndugu zangu huwa wakija kwangu huwa hawagusi kazi yoyote. Wanatengewa mpaka chakuka wao wakiwa wanachati na simu tu. Kutwa nzima. Wanaudhi sana. Siku wakija tena nitawaambia ikibidi nitawapiga marufuku kuja kwangu!1-> Utumiaji mbaya wa mitandao ya kijamii √
2-> Kutokupenda kufanya kazi za nyumbani√
3-> Kujipara hadi sura yako ya asili inasahaulika √
Ni kweli wanaume hupenda mwanamke mrembo na mwenye kupendeza. Lakini hii haimaanishi ndio ujipodoe hadi uchukize. Kila kitu kwa kiasi chake kwa sababu kitu chochote kikizidi huwa ni sumu.
Jirembe kwa kiasi, hili litavutia watu walio-serious kutaka kukuoa, lakini ukiwa ni wa kujiremba hadi ukapindukia, hakuna muoaji atakaye kuta. Tena ikumbukwe kuna baadhi ya wanaume wao hupenda mwanamke asiyejiremba (wenyewe huita natural)
Hizi ni baadhi tu, na wewe unaweza kuongezea ili kuwakumbusha wasichana wanaotaka kuolewa √
Kabisa aiseeNdiyo hao kwa kutongoza wame wawenzao ni hodari kweli akipata namba ya simu utasikia nipo free tunaweza onana ?