Nina mke wa miaka 6.. Najitahidi kumwamdaa kabla ya tendo la ndoa.. lakini ata nikifanyaje anachelewa
sana kupata "mood"..na kuchelewa zaidi kufika keleleni.. Ikitokea naitaji haraka haraka kama vile asubuhi au muda wowote ntapoteza muda bure..kwani sipati maji maji...na yeye anacibuka.. that means nikae wiki au zaudi ili apone.. Kuna mchepuku mbaya matatizo haya hana na nina enjoy kiukweli.. nikifika tu bila ata kuiweka sawa sawa naingia moja kwa moja,laini..na so sweet.. mke wangu ana tatizo gani? hanipendi au kuna kitu sijui mimi.. ebu naombeni ushauri..