Tumaini,
nilisema JK ajakuza michezo ni kweli hajakuza michezo, wewe umekuja na FIFA ranking, kumbuka michezo siyo soccer, michezo ni riadha, ngumi, socer, netball na kadhalika. kama michezo imekua njii hii niambie ni kwa vipi?lakini me najua michezo imezidi kudorora. hakuna hata medal ya olympic au hata michezo ya jumuiya ya madola,hapo ndo kipimo cha uwezo wa michezo maana ni aina nyingi za michezo hushndaniwa kimataifa.