Sababu 3 za kutotumia plastic ya maji zaidi ya mara moja..

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,800
34,189
SABABU 3 ZA KUTOTUMIA PLASTIC YA MAJI ZAIDI YA MARA MOJA..

CHUPA ZA MAJI.jpg



Matumizi makubwa ya maji ya kwenye chupa ni kile kipindi cha jua kali. Wataalam wanasisitiza kutotumia chupa hizi zaidi ya mara moja, matatizo yanaweza kutokea pindi hiyo chupa utaitumia mara kadhaa.

1.Chupa yenyewe inazalisha vimelea
Wakati wa kipindi cha kiangazi, bacteria wanakuwa wameenea sana katika mazingira, kwa hiyo uangalifu zaidi unahitajika kwa vifaa unavyotumia kwa ajili ya kula na kunywa.
Hatari zaidi ipo kwenye chupa za plastic ambapo tunaweka midomo yetu, ambapo bacteria wanatoka katika kinywa na kuingia katika chupa na kuzaliana zaidi.

2.Joto utoa kemikali hatari
Ili kuzuia kuenea kwa bacteria, chupa za plastic zinatakiwa kuoshwa na maji ya uvuguvugu na
sabuni.Chupa hizi za plastic katika joto kali inatoa kemikali ambazo ni hatari katika afya zetu

3.Jambo salama kufanya ni kutumia chupa mara moja.
Chupa za maji na jiusi ni vyema zitumike mara moja.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Kuna zile chupa za platic lkn za special zinauzwa za watt kwaajil ya kutilia maji,je zile nazo zinamadhara yyt iwapo utatumia mara kadhaa
 
Haya maisha yetu ya sasa ni kazi kweli kila kitu hatari. Maana hata kuna aina fulani za mapaa zimepigwa marufuku zinasababisha cancer...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom