kwa sasa zinapatikana za rangi ya pink
saa hizi za kike pia zinapatikana kwa elf 25 tuu ukipendezwa nazo karibu pm kwa biashara
wapendwa saa bado zinapatikana
habari wanajf saa zinauzwa ni mzuri za kisasa. bei ni elfu 30 hadi 28
weka no za cm mkuu
saa nzuri nimezipenda. upo mkoa gani? sehem gani?
saa nzuri nimezipenda. upo mkoa gani? sehem gani?