Hii inaonyesha jinsi gani mila zilikuwa na heshima siko hizo na hata mpaka sasa kwa baadhi ya makabila.matamanio sio kipaumbele,ndo maana kwao hilo ni jambo la kawaida kuvaa hivyo.kwa watu wa siku hizi thubutu upite njiani hivyo uone majoto yake.pia siku hizi kukuta imetunzwa hivyo ni kwa uchache sana,mpaka imefika wanatumia madawa ya mchina kuyanyanyua.