waukweli100
Senior Member
- Aug 18, 2014
- 193
- 24
Saa original zipo wapo mkuu maana kwenye picha umetuma midosho ya Elfu 40
Sawasawa Prof Kabudi...tumekusomaAisee Bvglari,Patek Phillipe, Audemars na kwa 270,000 ? hizo ni original feki au sio ? nyie ndio mnafanya da mange atubagaze bila tashwishwi [emoji205]