Samahani sana sana jf, sina SAA wala simu ya kuweza kunisaidia kuangalia muda, kwa hiyo chonde, tena naomba sana sana, yeyote aliye na SAA aniambie hivi sasa ni SAA ngapi ili nisijenikachelewa kazini. Niko serious na natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa kwa yeyote atakaeguswa na kuweza kunisaidia katika hili.