Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,464
- 3,506
mtaa wa mafya kuna duka la muhindi ili limejificha kdg
Nenda Bablas - house of watches askari monument
Weka kwanza picha ya makazi ya wazazi wako mkuu,isije ikawa hata kibanda hawana wewe unanunua goldNaomba mwenye kujua duka linalouza saa za gold na cheni kwa hapa dar anielekeze sitaki ile midosho ya elfu kumi kumi, maana nimezunguka hapa kariakoo naona wanauza midosho, mi nataka orijino especially saa ndiyo nnashida nayo sana.
Nenda Bablas - house of watches askari monument
unataka cheni nenda kwa sonara, inaonyesha we ni mgeni kwenye haya mambo! angalia usipigwe!
Hapo ndio mambo yote. No Fake Zone