Saa kiume na za kike

Gru

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2017
Posts
507
Reaction score
1,080
Tunapoelekea msimu wa Valentine tumewaletea mzigo mpya na mkali wa saa za kike na za kiume.

Saa zetu ni za ubora wa hali ya juu, nzuri sana na za kisasa.
Unaweza kuvaa maeneo mbalimbali ofisini, kanisani, mitoko ya weekend n.k

Lakini pia unaweza toa kama zawadi kwa uwapendao hususani kipindi hiki tunapoelekea Valentine's Day.

Tunapatikana Kariakoo Msimbazi B. Tunafanya delivery D'Salaam na mikoani tunatuma pia kwa gharama za mteja. Malipo ni baada ya kupokea mzigo.

Call/WhatsApp 0623250760.

You are all warmly welcome.
 
Bei unauzaje? Hasa hizo zenye tarehe.
Hizo za Casio bei yake ni 45000/- full box. Rolex hizo zilizoko mbili bei yake ni 60000/-. Pia hizo Patek bei yake nazo ni 45000/-. Karibu boss.
Tunatuma mikoa yote kwa gharama za mteja. Malipo ni baada ya kupokea mzigo!
 
❤️VALENTINE'S DAY SPECIAL❤️. Tumewaletea packages special kwa ajili ya uwapendao. Package hii inakuwa na:
📌Saa
📌Bracelet
📌Hereni na Cheni
📌Maua
Bei ni 65000/- tu. Mikoa yote tunatuma kwa uaminifu mkubwa, malipo ni baada ya kupokea mzigo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…