Hataki mzaha, benchi lote la ufundi wanakimbizana pia, anataka wakati wa mchezo kila mtu afanye kazi yake akitaka report uwe na taarifa sahihi otherwise utafokewa kama anataka kukumeza! Hadi video analysts jasho linamtoka [emoji1787]Kama ni ya kweli basi ngoja tuone, nijuavyo mimi BENCHKHA ni zile type za watu ambao wao wakilala wakiamka wanawaza kazi zao tu yaani yupo tayari ashinde ofisini siku tatu bila kukanyaga kwake, pia ni mtu wa misimamo mikali, anachojali yeye ni mafanikio full stop. ukimletea za kuleta anakuondoa au anakuachia kazi yako, pia ni mtu anayekwazika haraka yaani hasira zipo shingoni, ni mtu anayejali sana cv yake na mafanikio yake ni mtu asiyependa kelele wala kukosolewa mwisho kabisa ni mtu asiyeishi kwa kutegemea sifa za mashabiki yeye huamini ktk mipango yake. AKIMALIZANA NA WACHEZAJI ANAYEFUATA NI MANGUNGU NA TRY AGAIN tofauti na hapo atawaachia timu yenu kabla ya krismas
niliwahi kunote hicho kitu mkuu, pia anakadaftari kadogo keusi hako kana majina yote nilimuona siku ya simba na JKU akiandika vitu maana kamera za azam zilimmulika uyasemayo yana ukweli asilimia kubwa na mdicho kilichonisukuma nkaleta ule uzi wa kuwa hatofika krismas atapasukaHataki mzaha, benchi lote la ufundi wanakimbizana pia, anataka wakati wa mchezo kila mtu afanye kazi yake akitaka report uwe na taarifa sahihi otherwise utafokewa kama anataka kukumeza! Hadi video analysts jasho linamtoka [emoji1787]
Naunga mkono hoja. Hakuna mshahara wa bure bure tu kisha watuumize mashabiki. Kocha tupo nyuma yakoMuweke na onana...kiufupi wageni wa kubaki kwa upande wangu naona.
1.Ngoma
2.Kanute
3.Sarr(kwasababu ndo ameaajiriwa)
4.Inonga
5.Chemalone
6.Ayubu
Wa kupewa angalizo msimu uliobaki wawe
1.Phiri
2.Miqson
3.Kramo
Waliobaki piga panga tukianza na hawa
1.Onana
2. Saido
3.Baleke
4.Chama
Kwa wazawa
1.Bocco
2.Bocco
3.Bocco
4.Bocco
5.Bocco
6......
7......
onana si aliwapiga mbili wydad utamuachaje mtu hatari kama huyu?Muweke na onana...kiufupi wageni wa kubaki kwa upande wangu naona.
1.Ngoma
2.Kanute
3.Sarr(kwasababu ndo ameaajiriwa)
4.Inonga
5.Chemalone
6.Ayubu
Wa kupewa angalizo msimu uliobaki wawe
1.Phiri
2.Miqson
3.Kramo
Waliobaki piga panga tukianza na hawa
1.Onana
2. Saido
3.Baleke
4.Chama
Kwa wazawa
1.Bocco
2.Bocco
3.Bocco
4.Bocco
5.Bocco
6......
7......
Ila tutatoboa tu! Simba nguvu moja [emoji123][emoji419][emoji375]Wakuu,
Kocha mkuu Benchika inasemekana amenyoosha rula. Rula yenyewe sio ombi ni maelekezo kwa viongozi!
Huyu anaweza kuwa kocha wa kwanza wa kigeni asiyeogopa mtu kwenye kazi yake. Aliletewa mtu ikabidi apitie mlango wa trial akamla kichwa fasta bila kuuliza aliyemleta [emoji23]
Inasemekana akitokea popote kambini ni kama Simba mwenye hasira ameingia na wachezaji wanamuogopa, hataki mchezo na mipango yake.
Sasa huko ametoa profile anataka washambuliaji wa aina gani na sio vinginevyo. Kuna majina vipenzi vya mashabiki yapo hati hati watu wanatafutana kuweka mambo sawa [emoji23]
Ila tutatoboa tu! Simba nguvu moja [emoji123]
Safari hii kocha tunae sijui kama viongozi wataweza kukaza nae msimu mzima bila uswahili [emoji28]niliwahi kunote hicho kitu mkuu, pia anakadaftari kadogo keusi hako kana majina yote nilimuona siku ya simba na JKU akiandika vitu maana kamera za azam zilimmulika uyasemayo yana ukweli asilimia kubwa na mdicho kilichonisukuma nkaleta ule uzi wa kuwa hatofika krismas atapasuka
Hataki mzaha, benchi lote la ufundi wanakimbizana pia, anataka wakati wa mchezo kila mtu afanye kazi yake akitaka report uwe na taarifa sahihi otherwise utafokewa kama anataka kukumeza! Hadi video analysts jasho linamtoka [emoji1787]
Ni mtu kazi kweli. Kuna game za awali alirudisha wachezaji uwanjani baada ya game kufanya mazoezi na hakuna namna wachezaji na technical team wote wakarudi kwenye program ya mazoezi hadi mida mibovu [emoji1787]View attachment 2869782
Tazama wakati wenzie wanashangilia yeye kala buyu tu anawaza viwango vya mashaka vya kikosi chake
Sarr una shaka nae? Naona tumpe muda hata mechi 5 ndo tumjajinimesema hivyo kwa sababu hata akifukuza hao akina ntibanzokiza ataletewa type hiyo hiyo ya wachezaji si unaona ingizo jipya BABACAR SARR unaweza kuniambia kaletwa na nani hapo simba?
Hakuna mchezaji pale mkuu,ni vile tukuna upepo ulimtembelea ila Hana consistenceOnana unamjua visuri na unamjua unamuongelea nani?Onana ni mchezaji wa kimataifa nakushauri uachane na wivu na roho mbaya...
Ule ni upepo tu mkuu,baada ya hapo?onana si aliwapiga mbili wydad utamuachaje mtu hatari kama huyu?
Mwenyekiti wenu Mangungu anamkubali sana. Hivyo hawezi kuondoka.Ntiba aondoke
Baleke msaada wote huu anaondokajeMuweke na onana...kiufupi wageni wa kubaki kwa upande wangu naona.
1.Ngoma
2.Kanute
3.Sarr(kwasababu ndo ameaajiriwa)
4.Inonga
5.Chemalone
6.Ayubu
Wa kupewa angalizo msimu uliobaki wawe
1.Phiri
2.Miqson
3.Kramo
Waliobaki piga panga tukianza na hawa
1.Onana
2. Saido
3.Baleke
4.Chama
Kwa wazawa
1.Bocco
2.Bocco
3.Bocco
4.Bocco
5.Bocco
6......
7......
Sure Man tunashinda ila unaona kocha haridhiki kabisa..kiufupi hataki unafkiView attachment 2869782
Tazama wakati wenzie wanashangilia yeye kala buyu tu anawaza viwango vya mashaka vya kikosi chake
Kwasasa Hana msaada na Simba amebakiza hasira na kukimbia hovyo uwanjani.Baleke msaada wote huu anaondokaje
Kocha wa Boss kubwa huyoSafari hii kocha tunae sijui kama viongozi wataweza kukaza nae msimu mzima bila uswahili [emoji28]
Wengine ni upande wa pili wenye wivu, sasa Onana akiachwa nani atakuja mzuriOnana unamjua visuri na unamjua unamuongelea nani?Onana ni mchezaji wa kimataifa nakushauri uachane na wivu na roho mbaya...
Akanywe naye chai nyumbani kwake lakini sio kuwa kwenye squadMwenyekiti wenu Mangungu anamkubali sana. Hivyo hawezi kuondoka.
Naona kuna vyuma vipya vya kigeni vimeongezwa, wachezaji gani wa kigeni wataondoka dirisha hili dogo ili kupisha wengine?Safari hii kocha tunae sijui kama viongozi wataweza kukaza nae msimu mzima bila uswahili [emoji28]