Saa 21:16

... Umoja wenu udumu wanaCC. Mimi ninapita tu!
 
muwe mnawapotezea tu...otherwise mnaendelea kuwapa ujiko!
 
Yaani shosti nivea acha kabisa!
Nimemmiss huyo mdada mpaka basi,yaani hata Id yake hai exist,hii ni balaa!
ila anafanya kazi mkoani sijui kachukuliwa na mafurikooooo? ila hii mods wanahusika kabisaaaaa
 
Kwa pamoja tufanye CC ni mahali salama pa kuishi sio kama majukwaa mengine.

keep it up naziona juhudi zako mbona watajuta....wasiponyooka Mzee wa Rula itabidi achukue nafasi yake
 
Tukiwapotezea, wanajaza thread uchwara humu, inafikia kipindi hakuna cha ku comment unaamua kulusha like tu

Kaka si nilikuambia uwe unapotezea...ona sasa umepigwa pingu na kuswekwa lupango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…