s4

s4

mtweve jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
232
Reaction score
13
habari wadau samsung s4 black in colour going for tshs.600k used for few months only.for more info.0659626782
 
Wezi waakubwa na mi s4 yenu feki

Sasa ngoja nikupe ujanja,,siku nyingine usiuziwe samsung feki tumia njia hii ambayo ni ya uhakika. Bonyeza *#0*#, itatokea LCD screen test,kisha chagua sehemu imeandikwa sensor ifungue,ikishafunguka weka simu juu ya meza au hata chini halafu pitisha mkono wako kwa juu ya screen ya simu, usiguse kioo kwa juu tu, ukiona simu inasense mkono wako na kuvibrate ujue hiyo ni orijino, clone zote hazina sensa kali kama hiyo. Thats only simple way ya kugundua clones za samsung
 
kaka saa hv kuibiwa simu ni kutaka mwenyewe jus *#0*# unachek mambo yote hasa sonsor den unatoa pesa.simple n clear usiogope kaka
 
Back
Top Bottom