S0NY WEGA live bila chenga

S0NY WEGA live bila chenga

sony wega

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
234
Reaction score
35
Habari wakuu poleni na majukumu ya week na wengine kama mm tunajipa pole kwa kukosa gazeti letu pendwa la mwanainchi na mtanzania poleni sana kwani leo nimenunua sani nasoma katuni za baba ubaya , jamani ni hivi kuna swala linanishangaza sana nilitokea kuwa na mahusiano na dada mrembo sana na nikamfanyia kila kitu kumpangia nyumba na vitu vya dhamani vyote nikanunua ila kinachonikera zaidi ananitangazia kwa majirani kuwa najipendekeza kwake kwamba sihemi wala sizungushi na huwa nalia nisipo tekeleza matakwa yake sasa mm nashangaa sana kwa hilo sasa nimeamua kutofika wake na kusitisha huduma kwake kwani siwezi kuwaaminisha watu aliyowambia uwongo wake ukawa ukweli kwangu sasa nimeamua kumwacha na domo lake ala now baaada ya week mbili za kumpotezea kanifunguli jalada polisi kuwa nimempa mimba na kutelekeza na cha zaidi anasema nimemwambikiza ukimwi ushauri wakuuu
 
Mbaya zaidi ananipigia cm nakusema kuwa kwa kesi hii ntarudi mwenyewe kwake, nyambafu atajuuta
 
Pole ndo maisha lakin ndo faida na hasara ya mapenzi,ifanye sehemu ya historia na wengine tujifunze,si kila king'aacho ni dhahabu.
 
Kuna wife material na fake...... Huyo ni fake

kapime hiv na dna.. Kama uliweza lipia vitu vya ndani unaweza lipia vipimo pia
 
Hahaaaa alilikoroga mwenyewe muache alinywe.............

ni kweli ana mimba aliwahi kukudokeza kabla!!!!!!!!!
 
tuhuma nzito kakufungulia nenda kacheki afya yako yawezekana hakuwa mzima ndo mana kafungua kesi iyo akiwa na uhakika na madai yake pole sana mkuu
 
swali langu title ya hii thread na habari iliyomo vina uhusiano gani???
 
kakushika Pazuri kweli, ndio adhabu ya umalaya hiyo mkuu pambana,lakini pole kidume mwenzangu
 
tuhuma nzito kakufungulia nenda kacheki afya yako yawezekana hakuwa mzima ndo mana kafungua kesi iyo akiwa na uhakika na madai yake pole sana mkuu

hizo ni mbwembwe zakunitisha ila nirudi kwake kwani keshatuma watu kibao kuja kuniomba nikutane nae bt nashukuru kazini kwangu hakujui maana ingekuwa balaaa
 
Kwenye ukimwh hapo yani dushelele langu limesinyaa kabsa! Huu ugonjwa usikie tu kwa mtu! Mtoa mada anajifariji tu hapa ila alpotajiwa ngoma hadi kope znatetemeka!
"huyu mdudu kaangukia pabaya" fid q
 
Hivi hawa wanawake vimeo mnaokuja kuwananga haja jamvini daily huwa mnawaokota wapi?
 
uzuri ni kwamba mimba na ukimwi vinapimika..
 
Kapime ukimwi kwanza,,,, na nyie kaka zetu muwe mmnachunguza wanawake kabla hamjaingia mzima mzima??? huyo ulipata mswahili na asiyejitambua!!!
 
Back
Top Bottom