S.O.G Alfajiri

NGAYANIMO

Member
Joined
Feb 17, 2026
Posts
39
Reaction score
55
S.O.G - "ALFAJIRI"
" SNARE, BUFF G & AY "

Intro:

"Ooh Mapema Mno.!!
Tena Sana
Sasa Tazama.."


Verse.1 " Snare"

Yo!!
Bado Alfajiri Sasa Data na Zangu Tafsiri/
Adam Ndani Ya Game Me nitafika Mbali/
Safari Bado Mbali Ndo kwanza Tunavuka jabari/
Pata Picha Halisi Moto huu utajenga kasiri/
Nasiwezi Sema Ninachokiona Eti Ni Upuuzi/
Kwa style kibao Hip Hop Sanaa inatoa Dozi/
Tusilewe mvinyo wa Sifa Tuzidi fanya kazi/
Mishale ndio ishatimu Siwezi kupoteza wazimu/
Jamii inayopotea kuikoa Adam itanilazimu/
Nyota inayo ng'aa niko shenga na ninawapa lecture/
Ma - Tinneger - stuka msije mkawa Zero kwenye Future/
Vituko mnavyofanya wazazi wanabaki kung'aa sharubu/
Tatizo Nini mkiulizwa mnabaki kuwa ma - Bubu/
Sinto furahi kuona mwezangu unaikosa future Alfajiri/
Nitakapouchuna nitaupomoa na) (siokuuchenga umahiri/
Amani ya Moyo Wangu nikuona Mambo yanakwenda shwari/
Sio makuzi , Mapozi ulimbukeni eti ndo vijiri/
Kama unajua ulikotoka fumbua wapi wewe unakwenda Na lini wewe utafika/
Wengi tulipotoka Tunajua Tunavunja Ngazi Baada ya kupanda ni Vipi Tutashuka/
Toka Thug life Mtaani mpaka studio , Studio mpaka Radio na Masela wana - Feel Yo!!
S.O.G , Ay , Bokase , FA , Binamu ni Noma
Aiseeh..!!

Chorus : Ay & snare

Ni alfajiri na Mapema Nje
Yo!!
Bado sio Shwari kueni Macho
Tuwe Macho Aibu isitupate
Hahaha πŸ˜†
Bado Mapema Mno

Ni alfajiri na Mapema Nje
Yo!!
Bado sio Shwari kueni Macho
Tuwe Macho Aibu isitupate
Hahaha πŸ˜†
Bado Mapema Mno.!!

Verse..2 " Buff G "

"Uliyoyasema Snare ya kila siku hayatabiliki/
Natafuta, Tafuta mapene Ni alfajiri jamani/
Wengi Tunaongopa kufa na kusahau Uzee/
Hali hii ni Mapema Nafsi yangu inatamani kurudi Utoto lakini Wapi/
Ni msoto ,msoto kama misele yakumwanga/
Bado alfajiri na mambo mchanganyiko bado yanajili kila alfajiri/
Tajiri na utajiri , masikini na Watoto
Ongopa marafiki , wanafiki Wakipata wanakutupa ndani ya shimo la Dhiki/
Nani anadiriki kujiona amemaliza bado najishikiza na muda utasema Wakati wote tunahema/
Ni alfajiri jamani..!! Mbona mnakosa Imani /
Wakati Wetu waumini wakipaza kuungana katika Sala/
Wateule da S.O.G Watu wa kale Toka mishale/
Ambwene na Adam mnaonaje hali Hii ya ushirikiano/
(Inapendeza.!!)AY..Snare..BuffG
Zama nazo zinakwenda mbio Toka Enzi za Warumi masela wote tuko Vitani/
Wengine ndani Raha, karaha , Taabu na vikwazo ni Ryhems toka S.O.G

Chorus : Ay & snare

"Ni alfajiri na Mapema Nje
Yo!!
Bado sio Shwari kueni Macho
Tuwe Macho Aibu isitupate
Hahaha πŸ˜†
Bado Mapema Mno

Ni alfajiri na Mapema Nje
Yo!!
Bado sio Shwari kueni Macho
Tuwe Macho Aibu isitupate
Hahaha πŸ˜†
Bado Mapema Mno

Verse.3 " AY"

"Sema nami ila kabla ujaota usilete Pozi/
Kwani bado alfajiri je? Magharibi sa Si ndo kazi/
Nafungua mlango baada ya Uchunguzi /
Nangundua mambo yanayojili Mengi niyakipuuzi/
Maendeleo Bongo kwangu Naona ka Alfajiri/
Ukatae , Wewe ubishe lakini Huo ndio Ukweli/
Wasanii wa Bongo Mambo Ndo kwanza Yameanza/
Ukipanda chart Usione umefika Bro utacheza/
Piga michongo Uzembe weka kando/
Kama ni kazi dili Unavyoweza Sio misonyo/
So misoso..!!
Chakalika Mapema kabla Mengi hayajavuma/
Starehe Zipo Wala hasiishi Sema Tu zinavuma/
Unapokuwa na ndevu sio kwamba Mchezo unauweza/
Unanuka Maziwa Tayari Umeshaanza Visa/
Waliokulea Sasa unawapuuza , unamtukana mamba kabla mto ujavuka/
Unadharau Watu Eti kwa mali za Baba/
Kuna leo na kesho Bro. Asije lost upindwe Saba/
Watoto Wa shule Ebu fanyeni kusoma /
Mnakazana na mapenzi Me sipendi kuona/
Hivi..!!
Hivi ni ponda mali kifo chaja /
Au ponda tu ponda mali Shinda chaja/
Bro.!!

Chorus: Ay & snare .

Ni alfajiri na Mapema Nje
Yo!!
Bado sio Shwari kueni Macho
Tuwe Macho Aibu isitupate
Hahaha πŸ˜†
Bado Mapema Mno

Ni alfajiri na Mapema Nje
Yo!!
Bado sio Shwari kueni Macho
Tuwe Macho Aibu isitupate
Hahaha πŸ˜†
Bado Mapema Mno

Ni alfajiri na Mapema Nje
Yo!!
Bado sio Shwari kueni Macho
Tuwe Macho Aibu isitupate
Hahaha πŸ˜†
Bado Mapema Mno

Ni alfajiri na Mapema Nje
Yo!!
Bado sio Shwari kueni Macho
Tuwe Macho Aibu isitupate
Hahaha πŸ˜†
Haraka ya Nini kwanza Mambo Bado

Ni alfajiri na Mapema Nje
Yo!!
Bado sio Shwari kueni Macho
Tuwe Macho Aibu isitupate
Hahaha πŸ˜†
Bado Mapema Mno


Outro:

πŸ˜† ha Hahaha πŸ˜†
Mika Mwamba kali .!!
J - Sirick
S.O.G hey wa mahonney
Hahahaha πŸ˜† πŸ˜‚
EAST COAST BABY

Ulikuwa na miaka mingapi enzi hizo Buff G, AY na Snare Enzi hizo wanajiita "S.O.G " wanaimba Pamoja?
Kabla ya C.b.m Crew na East coast ..

Ukwaju wa kitambo
0767 542 202.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…