comrade wetu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 964
- 605
Kwanza mipaka yote iliyokaribu na slim kaweka watu wa aina gani kuwa wakuu wa mikoa?jiwe ni makini sana kuliko mnavyofikiria we jiulize kwann hamtajitaji tena Slim jiulize,
Hahahaha, hasa RC wa KageraKwanza mipaka yote iliyokaribu na slim kaweka watu wa aina gani kuwa wakuu wa mikoa?
Now kagera na kigoma kuna operations endelevu za kudili na wahamiaji alafu kimya kimya tu
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Watu wanadharau sana kufananisha propaganda za kagame na uhalisia wa Magufuri.Kwanza mipaka yote iliyokaribu na slim kaweka watu wa aina gani kuwa wakuu wa mikoa?
Now kagera na kigoma kuna operations endelevu za kudili na wahamiaji alafu kimya kimya tu
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hahahaha, hasa RC wa Kagera
MTC | 101|
Hahahaha, mkali wa zile Kazi,sura na sifa zake tofautiHuyu wa kagera Ana sura ya kinabii lkn roho ya shetani aise anawafurusha huku anawechekea
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Unajua ni kwa nini Mr slim anamkumbatia jpm?Maisha ya jiwe Yapo mikononi mwa Mr slim, ana maslahi makubwa mno Tanzania, na jiwe akijifanya kumtosa tu Mr slim, basi atafyekelewa mbali watu hamtaamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi cha Mr slim anamkoromea jk ingekuwa ndiyo huyu wa sasa huenda mpaka muda huu jeshi la Tanzania lingekuwa kigali na Mr slim akiwa uhamishoni ufaransaHakuna raisi anyeogopewa na Mr slim ukanda huu kama jiwe Mr diplomasia ziro
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Sidhan kama angepata hata nafasi ya kukimbilia Uganda maana jiwe hajaribiwiKipindi cha Mr slim anamkoromea jk ingekuwa ndiyo huyu wa sasa huenda mpaka muda huu jeshi la Tanzania lingekuwa kigali na Mr slim akiwa uhamishoni ufaransa
Ila jiwe haahahahhahahahSidhan kama angepata hata nafasi ya kukimbilia Uganda maana jiwe hajaribiwi
Pia nadhan fdrl wangekuwa ndio serekali ya pande hizo muda huu
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Mbona nasikia Mr smile/msoga alituma makomando wakamteka slim huko Kigali usiku wa manane ikabidi waongee kwenye simu yaishe usiku huo vinginevyo habari ingekuwa nyingine asubuhi yake.mr slim alipanga kumuua mzee wa msoga akamshtukia nashangaa jiwe kumkumbatia
Mbona nasikia Mr smile/msoga alituma makomando wakamteka slim huko Kigali usiku wa manane ikabidi waongee kwenye simu yaishe usiku huo vinginevyo habari ingekuwa nyingine asubuhi yake.
Fuatilia vizuri uambiwe, Jk si mchezo?hii chai ilikuwa ni hot aise daha
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Ni kweli jk sio wa mchezo lkn hiyo hit squad haikumkamata slim japo ilikuwa inamuwinda kweliFuatilia vizuri uambiwe, Jk si mchezo?
Unaambiwa iliiteka nyumba anayolala kagame na ikabidi aombe msamaha usiku.Ni kweli jk sio wa mchezo lkn hiyo hit squad haikumkamata slim japo ilikuwa inamuwinda kweli
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Unaambiwa iliiteka nyumba anayolala kagame na ikabidi aombe msamaha usiku.
aaaaaahhhhhhaaaaa, eti anabadilisha nyumba kila siku, kumbe jenerali mzima wa jeshi ni muoga hivyo? Nani alimjuza kuwa mswahili anataka amchukue.Aaah wap walimkosa pande zote maana alikuwa anabadirisha nyumba kila siku
Note
Tusibishane saana mimi ndio slim mwenyewe sawa
Sent using my iPhone using jamiiforum app
hii chai ilikuwa ni hot aise daha
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Mbona nasikia Mr smile/msoga alituma makomando wakamteka slim huko Kigali usiku wa manane ikabidi waongee kwenye simu yaishe usiku huo vinginevyo habari ingekuwa nyingine asubuhi yake.
Fuatilia vizuri uambiwe, Jk si mchezo?
Ni kweli jk sio wa mchezo lkn hiyo hit squad haikumkamata slim japo ilikuwa inamuwinda kweli
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Unaambiwa iliiteka nyumba anayolala kagame na ikabidi aombe msamaha usiku.
Aaah wap walimkosa pande zote maana alikuwa anabadirisha nyumba kila siku
Note
Tusibishane saana mimi ndio slim mwenyewe sawa
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hahahaha, aseeaaaaaahhhhhhaaaaa, eti anabadilisha nyumba kila siku, kumbe jenerali mzima wa jeshi ni muoga hivyo? Nani alimjuza kuwa mswahili anataka amchukue.
Upo wewe mtu?Hahahaha, asee
MTC | 101|
Upo wewe mtu?