Rwanda's Masterful Deception

That why nasema kinachoibana dstv ni katiba basi maana oil wafanye kitu lzm raisi ajulishwe mikataba ya madini na gesi ni udhaifu wa jk tu that dstv wamekuwa mstari wa mbele kwenye huu mchongo wa acacia chini ya magu coz kaonesha nia

So ili tz inufaike vizuri na dstv katiba inatakiwa iwape uhuru
Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Nakubaliana na wewe kabisa, umesasikia vile kagame alituma watu africa kusini na wakaua aliyekuwa kiongozi wa ujasusi hapo rwanda, mkuu RWANDA IS A TICKING TIME BOMB
Teh teh acheni kumwogopa uyo boya.kwa mfano majasusi wa korea walivyo fanikisha ile misheni ya kum kill yule kaka yake Kim ina maanisha kwamba ndio bora kuliko C.I.A au M16 mi nadhani rwanda Hana Cha kuifanya Tz kwa sababu namini tume wazidi kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huko Rwanda ambako unasema wanaweza kufanya chochote dhidi ya tz intelligence system yao inaweza pingana na maamuzi ya kagame
Sent using Jamii Forums mobile app
 
tuongise sana Mwang'onda ,Kitine,Mahiga wa kuboma, wa kumwitu OR yuve wa kumwani MK
 

Nimesoma hii kitabuna zile document nyingine mbili ziko very consistent. The entire thing was well calculated and executed kwaustadi sana. Ila Slim ali invest sana kwenye PR tangu mwanzo kabisa kuhadaa ulimwengu.Niseme alifanikiwa sana lakini hakuna marefu yasiyo na ncha.Kilichomsaidia zaidi ni kulinda maslahi ya wakubwa nao wamefumba macho.
 
Hakuna raisi anyeogopewa na Mr slim ukanda huu kama jiwe Mr diplomasia ziro

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Slim hamuogopi Jiwe wala wala counter part yeyote ukanda huu. Alimteka jiwe sababu ya ugeni wake kwa kujipendekeza sana kwake ili kupunguza ukaribu wa TZ kwa Burundi ambaye alimgeuka Slim kwenye mpango wake kushughulika na mtangulizi wa jiwe.
 
Hamna hakili nyie unaona mnavyo mdisi rais wenu?mpenda raia,muchapa kazi!badla ya kumsaidia kuiweka Sawa inchi kama Vijana.inchi inakilakitu lkn generation hii vicwa maji tu.!
 
Slim hamuogopi Jiwe wala wala counter part yeyote ukanda huu. Alimteka jiwe sababu ya ugeni wake kwa kujipendekeza sana kwake ili kupunguza ukaribu wa TZ kwa Burundi ambaye alimgeuka Slim kwenye mpango wake kushughulika na mtangulizi wa jiwe.
Jiwe anajua kabisa slim sio mtu poa that why wakuu wa wilaya na mikoa yote iliyopo karibu na Mr slim inaongozwa na majeneral wastafuu jiwe yupo karibu na slim kwa sababu za kiuchumi tu mfano ni sgr bila urafiki wao nadhan slim angeungana na kenya

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Muingiliano wa mataifa ya EA kutokana na mapitoya historia yetu na migogoro ya mara kwa mara hasa majirani zetu ukichangayana uwepo wa wakimbizi wa mara kwa mara wanaokaa nje ya nchi zao muda mrefu unafanya mambo ya kiusalama kuwa challange kubwa. Slimaliwahi kumpiga mkwara Saba kwamba atamshughulikia kwani anajua kila nyendo zake,anavyolala anavyokulana kila kitu. Ukumbuke alikuwa sehemu ya jeshi na serikali ya Uganda . Huku kwetu kila siku unaambiwa watu waliokaa hapa kwetu siku nyingi si raia. Ni wangapi hawajajulikana na pengine wapo sehemu nyeti sana? hilomimina wewe hatujui
 
Slim sio tisho kwa tz hata kidogo that why jk alitumia tu hit squad na ilimfanya slim apotee kabisa hadharani akaishi kama digidigi

Sema tu slim kama ulivyodai awali kuwa alitumia udhaifu wa jiwe kujiweka karibu nae maana anajua jiwe ni mtu wa aina gani

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 

DSTV wanadhani CCM ndiyo Taifa, wameng'ang'ana kulinda utawala wa CCM kuliko hata nchi yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…