Rwanda's Masterful Deception

Nakubaliana na wewe kabisa, umesasikia vile kagame alituma watu africa kusini na wakaua aliyekuwa kiongozi wa ujasusi hapo rwanda, mkuu RWANDA IS A TICKING TIME BOMB
 
asante sana mleta mada hii, hii mada iko na elimu kubwa sana kwa wale wanaofikiria ya kuwa rwanda ni kisima cha amani na ati rwanda iko na inasonga mbele kimaendeleo, rwanda ni taifa ambalo watu mpaka sasa wanazidi kuto weka, kuuawa na kuyayazwa na pk, hii rwanda ile vita itaikumba sijui nani atazimamisa hio zita
 
Acha kusubiri meli stendi ya msamvu Kama angekuwa na uwezo huo angefanya toka enzi kikwete. Kwaiyo unaweza tiss aliyoasisiwa na nyerere na utoto wa kagame

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu TISS ya Nyerere huwezi kufananisha na hii iliyovamiwa na UVCCM, TISS badala ya kuhangaikia na maslahi ya taifa inahangaika na kuua upinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni kweli au maneno tu ?

Nimeisomakwenyekitabucha mlinzi wa PK ambaye badaya alikimbilia uhamishoni kinaitwa "behind the presidential curtain" kimendikwa na Noble Marara.Kiko so deep na story za mauaji kabla na baada ya vita iliyomaliza genocide.
 
Dstv inavitengo vyake ukiona wanaangaika na upinzani jua basi wameona kuna hatari huko

Lkn dstv ni shirika imara zaidi la ujasusi Africa ila ispokuwa katiba ndio inayowabana

Ukitaka kuamini angalia huo mchongo wa kutorosha dhahabu waluvyopambana nao since day one raisi alikuwa anaoneshwa mchoro wote

Pia unajua kilichowatokea wale makahaba wa Mr slim?
Mkuu TISS ya Nyerere huwezi kufananisha na hii iliyovamiwa na UVCCM, TISS badala ya kuhangaikia na maslahi ya taifa inahangaika na kuua upinzani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Kawaida kete ya kushinda uchaguzi malawi huwa ni kuwaambia raia kuwa ziwa nyasa lote ni lao lkn uchaguzi wa mwaka huu mpaka muda huu bado hawajaropoka kuwa ziwa lote ni lao

Wanajua kabisa kuwa now tz kuna Mr diplomasia ziro
Sijakusoma mzee kwa hiyo jiwe ndio Mr Diplomasia Zero?
anyway nimecheka sana

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Hivi hamna kazi Zakufanya?siasa za ViJiwen tu.Slim Slim! Huh!dalili za ku fail kimaisha hizo.
 
Mr Richard nakubaliana na wewe kuwa Dstv wako bora sana Tatizo ni moja tu linaloitafuna Dstv ni kuangalia maslahi binafsi ya Rais na chama, sikubaliani na wewe eti upinzani kuna Hatari ya usalama wa taifa kiasi kwamba ni haki kuwatesa na kuwaumiza wapinzani, Hatari ya upinzani hasa CHADEMA na cuf ni kuitoa CCM madarakani, hakuna jingine.
Ndo maana CCM inaitumia Dstv kuharibu upinzani jambo ambalo nakuapia halitafanikiwa hata iweje.
Dstv kwa sasa haiangalii maslahi ya taifa bali maslahi ya CCM, ingekuwa inaangalia maslahi ya taifa tusingekuwa na mikataba mibovu ya madini, Gesi isingeenda kwa hati ya dharura bungeni.
Viwanda visingekufa, unavyoiona Marekani, Uingereza ,Japan, Germany, China, mashirika yao ya kijasusi yapo kwa maslahi ya taifa ndo maana wapo hapo walipo, CIA iko tayari hata kumuua Rais wa US pale wakibaini anaihujumu nchi, Tanzania Dstv iko mfukoni mwa Rais anai Remote atakavyo, nchi Kama hii haiwezi kuendelea hata iweje.
Wachina pamoja na kuwa wana mfumo wa chama kimoja lakini maslahi ya taifa lao yanazingatiwa kuliko chama, ndo maana Katibu mkuu wa chama chao alihukumiwa kunyongwa, kwa Huruma tu ya Rais kwa Sababu alikuwa mtu wao wakambadilishia hukumu na ikawa kifungo cha maisha hadi leo Yupo jela, Kinana ana tuhuma za kumaliza Tembo, nani wa kumgusa,?
Tanzania haiwezi kufanikiwa chini ya CCM.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha story za vijeweni kusimulia TISS ni kitu kipana sana ambacho utajitahidi ukijue na huta kijua mpaka unakufa

Sent using Jamii Forums mobile app
Usinichukulie poa sana kwa sababu hunijui,ningeanika mazito humu ila yatafutwa, TISS iko kichama siyo kitaifa,inafuata amri ya Rais 100% hata Kama Rais anaboronga, inafanya kazi mithili ya jeshi yaani kupokea amri na kuitekeleza bila kujali wala kutathimini athari kwa taifa.
Kuna mengi huyajui Kuhusu vitengo vya kijasusi vinavyofanya kazi, wewe upo kushabikia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hamna kazi Zakufanya?siasa za ViJiwen tu.Slim Slim! Huh!dalili za ku fail kimaisha hizo.
Ok ok, Ebu tusaidie kwa nini wewe unataka tusimzungumzie Slim wakati ni jirani yetu , mwana Africa Mashariki mwenzetu na kuna tuhuma nyingi sana kuliko mtu yoyote ndani ya Africa Mashariki kuwa amesababisha vifo vya watu wengi sana. Tusaidie kwa nini tusimzungumzie?
 
Nimeisomakwenyekitabucha mlinzi wa PK ambaye badaya alikimbilia uhamishoni kinaitwa "behind the presidential curtain" kimendikwa na Noble Marara.Kiko so deep na story za mauaji kabla na baada ya vita iliyomaliza genocide.
Huu uzi umenishinda kimo, ngoja niwachie wataalamu wanaojua mambo.
 

Hayafutwi mkuu ondoa hiyo dhana kabisa JF haipangiwi kabisa sasa hivi we mwaga upupu tu
 
Huu uzi umenishinda kimo, ngoja niwachie wataalamu wanaojua mambo.
I think wewe unahitajika sana kwenye huu uzi. Kitabu cha " Behind the Presidential Curtains" kimeambatanishwa kwenye thread namba 15 &16. Kaka soma hicho kitabu urudi tunahitaji mawazo yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…