RwandAir named among world's safest airlines - This Is Africa
Sifa zimwende Paul Kagame kathibitisha tukitaka tunaweza
Wewe vipi? Bila kuitaja Tz huwezi kuipaisha Rwanda? Who cares????
Hizo ndege toka zianze kusafiri angani zilishatengeneza faida au ni u-bishow tu wakati zinakula kodi ya wanyarwanda bure tu kwa kutafuta sifa za kuonekana wana ndege zinazoruka angani?
Mwenye published financial statements za Air RWANDA atuwekee hapa kabla ya kuvurumishia matusi Air Tanzania.
[h=1]RwandAir named among world's safest airlines - This Is Africa[/h]
Sifa zimwende Paul Kagame kathibitisha tukitaka tunaweza
Ngonjera tu hizo Ndege zake anazotumia ni kati ya ndege zenye risky sana. Anadanganywa ili kichwa kikuwe kama boga!!!
Watanzania bana...halafu kichwa kikikua ndio iwe nini...acha amwagiwe sifa Mr President Kagame ni haki yake,Je rasi wetu asifiwe kwa kwa kitu gani
Mentality ya Watanzania wengi mbaya sana. Kama hujanielewa some comments hapo juu
Air Tanzania uozo. Sielewi Mwakyembe anafanya nini.
kama hakuna raisi huyu aliyepo ni hawara yake wa mama yako ?
Kuna shirika linaloitwa rwandair?