Rwanda

Rwanda

yes wadau. Hawa jamaa utawala wao umefikia mwisho. Kwa kuangalia historia ya mambo yalivyo huko, siamini kama hawatakuja chinjana tena.
 
Ni uchambuzi mzuri, lakini kuna kasoro ndogondogo, mg, kiongozi mwazilishi wa rpf alikuwa Paul Rwigema na si Pk

yes. Ila ukweli yule jamaa (Kagame) kichwa chake hakika sawa sawa kabisa. Ana vitu vya kufikirika na si kutendeka.
 
Back
Top Bottom