East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,211
View attachment 280729
We want every city dweller to make a bus their favorite means of transport, instead of spending heavily on a private cab.​
kwa waliopata wasaa wa kukaa rwa.nda na kujichanganya na ma lay men watakubaliana na mimi kwamba rwa.nda bwana ni pa ovyo mno,,, kujishoo shoo ndo kumewajaa,,, ukikaa mpaka wa rwanda na ko.ngo warwa.nda wanavuka kila siku na masufuria kichwani kwenda kuuza maziwa ya reja reja ko.ngo,,, ila rushwa kweli ni ndogo sana sana
Sisi huku eti tunamsubiri Magufuli...teh teh teh!!!
Wakati yupo kule kule kwa walioharibu miaka yote...
divai mpya kwenye chupa chakavu
Hivi usafi nao lazma serikali ikusimamie? Watanzania watu wa ajabu sana.[/QUOTE
Watanzania hawana magari ya kuzoa taka