Hizo infrastructure za Mawasiliano kuanzia mkongo wa Taifa ambao hadi Rwanda Inautumia na mabarabara ya lami nchi nzima kajenga mama yako au serikali ya Kikwete?
..how about gati mbili za bandari ya Dsm ambapo waziri na naibu wake walikuwa wanagombea rushwa?
..how about reli ya kwenda burundi na rwanda ambayo tulishasaini mou lakini tumesuasua mpaka Rwanda wameamua kujitoa ktk mradi?
..ndiyo maana nasema kama tunataka ku-finance miradi ya infrastructure kwa kutumia bonds ni vizuri tukasubiri mpaka tutakapokuwa na utawala ambao ni makini na aggressive kuliko huu tulionao.
cc JustDoItNow
Last edited by a moderator: