Mwenye fantasy mimi au wewe? Budget yetu inajitegemea kwa 91.6% ya kwenu 66%, budget zote zimetangazwa kwenye mabunge. Is that a fantasy? Gharama za kuhudumia Tanzania nzima hazilingani na gharama za kuhudumia nchi kama jimbo la samuel sitta? Is that a fantasy? Wewe ndio unaishi kwenye fantasy ya kujifanya uko marekani wakati unaibuka JF mida wamarekani wamelala!