Rwanda: Spika wa senate ya Rwanda ajiuzulu

MAHORO

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
7,585
Reaction score
2,571
... Ni Aliyekuwa Mgombea Wa Urais Kupitia Chama Cha Social Democratics Chama Cha Pili Cha Upinzani Chenye Ubia Na Serikaki..

Sababu Za Kujiuzulu Kwake Hazijajurikana Bado Ila Kuna Tetesi Kwamba Amekua Akipata Mashinikinizo Ambayo Haijawekwa Wazi Yametoka Kwa Nani Na Kwasababu Gani.. ...

Source: Inyenyeri Newz Na Radio One

==========
Kutoka Tovuti ya Bunge:
 
Akimbie mara moja, akibaki atamjua paka ni nani!
 
Aondoke nchini haraka, LA sivyo ataitwa " the late" , chezea Paulo weye, huku kwetu unguja "Paulo" ni beleshi au spade, kazi yake ni kupindua udongo na kufukia.

CC:Murutongore et al.
 
Invisible, nakuona upo humu, please nilishawahi kupendekeza ifunguliwe sub forum ya Rwanda, Ya Kenya ilifunguliwa kwa sababu kulikuwa na Habari nyingi kutoka huko,

Nadhani Rwanda nayo imekuwa maarufu ndani ya JF kwa habari motomoto, inaweza kuwa na Rwanda Politics, Business, Entertainment (sports, music ect) Rwanda Photo nk

CC: jMali
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kituko tumeshatoa maoni kuhusu kufunguliwa jukwaa la Rwanda lakini Mods wamekuwa wazito sana sijui wana interests gan linapokujwa suala la Rwanda labda wangetuambia sababu za kutofungua jukwaa la Rwanda.


 
Last edited by a moderator:
Kama wao hawajawahi ota kufungua la Tanzania kwanini sisi tufungue ya Rwanda?
 
CC: Murutongore.
 
huyo jamaa aangalie sana maisha yake hivi sasa yapo hatarini anaweza kuuwawa wakati wowote kuanzia sasa
 
Tatizo umu wanaoichukia Rwanda wako wengi na kila siku wanaibua habari za uchonganishi na Tanzania.

Hivyo likifuguliwa jukwaa la Rwanda linaweza chochea zaidi uhasama kutokana na habari za uchonganishi hivyo ndio maana wakuu hawawezi kukurupuka kuweka jukwaa la Rwanda bila kujilizisha kama kuna umuhimu.
 
wanyarwanda wako wengi humu ndani na habari za Rwanda zimeshakuwa nyingi, ni bora lianzishwe jukwaa la Rwanda.

Invisible
 

!
!
wabongo wivu kibao....Rwanda inaongoza kwa mfano kudadadeki.
 
Haya yanawezekana kwa wenzetu. Tanzamia hakuna kuwajibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…