wasiwasi wako unatoka wapi?Walioko karibu na hao majirani zetu wa Rwanda; tujuze ... ni salama kweli au?
Weka tetesi zako/doubt then tuendelee....Au Mada ndio imeishia hapo?Walioko karibu na hao majirani zetu wa Rwanda; tujuze ... ni salama kweli au?
Dar es Salaam. The President of Rwanda Paul Kagame has warned that anyone plotting war against his country would face strong retaliation.Soma hapo chini ..
Kazi ya condom ni kutupwa ikishatumiwaWazungu wameshamtumia Mr.Slim sasa wanamuondoa kwa njia ya taratibu..
Ignorance na ubinafsi kama yafanyikayo south Sudan.Hivi Africa tumelogwa? kwa nini tusitumie mazungumzo na badala yake ni kumwaga damu tu?
huyu akiondoka, wengine wengi wa aina yake wanaweza kufuata si miezi mingi kutoka leo!!Wazungu wameshamtumia Mr.Slim sasa wanamuondoa kwa njia ya taratibu..
Usisahau kwamba hata ndom imeshanyonya utamu wa chiu..Kazi ya condom ni kutupwa ikishatumiwa