Rwanda ranked 2nd in internet speed

Hiyo ya Tanzania, mnhhhh! Ni mtandao upi unakupa angalau 5 Mbps? Labda ya private. Hii ya public? Sijawahi ona.

FaizaFoxy,
That is the issue you should rise to your boy at Magogoni since you always prize him on your comment.
 
Mkuu...hapo kwenye nyekundu utakuwa unawaongelea Jmali, Mokala1989(aka Majeshi 1981), Rushasha just in case you want to know their Pseudonym
 
Mkuu...hapo kwenye nyekundu utakuwa unawaongelea Jmali, Mokala1989(aka Majeshi 1981), Rushasha just in case you want to know their Pseudonym

usimpomtag mtu properly maana yake unam-snitch. kama vile kagame alivyokuwa ana snitch kupitia RichardGoldston.
 
Last edited by a moderator:
Rwanda always planning, planning, planning.....
 
usimpomtag mtu properly maana yake unam-snitch. kama vile kagame alivyokuwa ana snitch kupitia RichardGoldston.

Wewe hakuna haja ya kuku tag. Unalala kwenye JF so there is no need. Nimeona Thread yako ya saa nane za usiku when at that time of night i and all rwandese were sound asleep huku milango yetu ikiwa wazi kwa jinsi tunavyoiamini serikali yetu kutulinda wewe ulikuwa unaanzisha thread nyingine ya kipuuzi. Your obsession with Rwanda will result in you being Schizophrenic with Rwanda. Dimwit
 
hahaha, unadhani niko wapi?
 
hongera sana kwa kujua ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…