Rwanda: Poor Makenga!! [Tafsiri inahitajika]


time will tell, kagame anajifia taratibu na bahima empire
 
Ndio sababu Museveni,amekubali kumshauri Kagame aongee na waasi,na kuanza kufanya mchakato wa kujiunga na umoja wa afrika ya kati

m 7 mwenyewe kaingia hasara kubwa kwa mizinga iliyokamatwa! kaona dawa ni kumshauri hyo -------- kagame asalimu amri lasivyo yatampata yaliyowapata madikteta wengine duniani
 
Ndio sababu Museveni,amekubali kumshauri Kagame aongee na waasi,na kuanza kufanya mchakato wa kujiunga na umoja wa afrika ya kati

huyo uchuro ni sawa na sisimizi tu hatakubaliaka katika jumuiya yoyote afrika iliyostarabika labda kwa lucifer
 
Upuuzi mtupu hata unachoandika wewe mwenyewe huelewi na ndio mliojaa wengi humu,kweli ujinga mzigo!!

wababe wa tahira kagame wakizerebuka baada ya kumshikisha ukuta kagame. viva KIKWETE, VIVA JACOB ZUMA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…