Jamaa anasema kagame alificha zana za kivita nzito
kwenye milima ya chanzu.
Anasema hapo mwanzo kagame aliamuru siraha zote nzito zilizokuwa mjini kigali zihamishwe akihofia waasi wanaweza kuziteka na kuzitumia kama walivyo zitumia kumua habyarimana.
ndipo wakaamua 2/3 ya siraha zote za rwanda zikafichwe kwenye hiyo milima ya chanzu.
Anaendelea kusema majeshi ya tanzania yakishirikiana na ndege za afrika kusini yalimuonyesha kagame kwamba yeye si chochote mbele yao baada ya kumfurumusha na kuteka hiyo shehena za kivita kitu ambacho kimemfanya kagame awe mpole.
Hiyo shehena ilikua na uwezo wa kuisambalatisha kivu yote. m23 walijaribu kuichoma moto lakini iligoma kuwaka, ni vifaa vichache vilivyo ungua. Waliweza kukamata zana nzito nzito za kivita na risasi tani 300.
UNO itatumia hizo siraha kama ushahidi kwamba kagame anahusika. Vilevile walikamatwa watoto wa kinyarwanda chini ya miaka 17(pichani) wakiwa vitani.
kamaliza kwa kuweka picha za ndege za kivita za africa kusini.
(nimeelezea baadhi niliyo yaelewa). mia
Komando wa kiukweli halali kwenye godoro wala kwenye nyumba self contained anakolala na kuamka anajua yeye na kambi ya makomandoo haina majengo ya ku-renovate saa yoyote wao ni juu kwa juu.Kuvunja kambi na kuanza ingine kitu kidogo tu.

Col. MUKAMASIMBA hawezi kutoa tafsiri sahihi wala hawezi kuja hapa ataumbuka
Acha uzushi,unaona kagame mwehu wa kuhifadhi silaha congo,kwani penye usalama ni congo au rwanda? halafu huo uzi wameukopi toka kwa gazeti la upinzani wa rwanda kwahiyo hakuna lilote la maana,je silaha ni mabox ya risasa? hizo ni silaha za M23 wakuu.
kamachumu, muleba, kashozi, au wapi?
Acha uzushi,unaona kagame mwehu wa kuhifadhi silaha congo,kwani penye usalama ni congo au rwanda? halafu huo uzi wameukopi toka kwa gazeti la upinzani wa rwanda kwahiyo hakuna lilote la maana,je silaha ni mabox ya risasa? hizo ni silaha za M23 wakuu.
Umesema "hizo silaha ni za M23 wakuu".... sasa M23 na kagame na museveni si ni kitu kile kile.. mtaweweseka sana mwaka huu. MUNGU lazima awaumbue nyie wauwaji...
Duh! Ndio Maana Jamaa Kawa Mpole Gafla. Alafu JWTZ Nao Wamezidi Kuwa Wasili.
Komando wa kiukweli halali kwenye godoro wala kwenye nyumba self contained anakolala na kuamka anajua yeye na kambi ya makomandoo haina majengo ya ku-renovate saa yoyote wao ni juu kwa juu.Kuvunja kambi na kuanza ingine kitu kidogo tu.
Jamaa anasema kagame alificha zana za kivita nzito
kwenye milima ya chanzu.
Anasema hapo mwanzo kagame aliamuru siraha zote nzito zilizokuwa mjini kigali zihamishwe akihofia waasi wanaweza kuziteka na kuzitumia kama walivyo zitumia kumua habyarimana.
ndipo wakaamua 2/3 ya siraha zote za rwanda zikafichwe kwenye hiyo milima ya chanzu.
Anaendelea kusema majeshi ya tanzania yakishirikiana na ndege za afrika kusini yalimuonyesha kagame kwamba yeye si chochote mbele yao baada ya kumfurumusha na kuteka hiyo shehena za kivita kitu ambacho kimemfanya kagame awe mpole.
Hiyo shehena ilikua na uwezo wa kuisambalatisha kivu yote. m23 walijaribu kuichoma moto lakini iligoma kuwaka, ni vifaa vichache vilivyo ungua. Waliweza kukamata zana nzito nzito za kivita na risasi tani 300.
UNO itatumia hizo siraha kama ushahidi kwamba kagame anahusika. Vilevile walikamatwa watoto wa kinyarwanda chini ya miaka 17(pichani) wakiwa vitani.
kamaliza kwa kuweka picha za ndege za kivita za africa kusini.
(nimeelezea baadhi niliyo yaelewa). mia
Lakini pamoja na hayo yote Mbona m23 na serikali ya DRC hawajasaini mkataba wa amani, wakati pande zote zilihitaji makubaliano??
Huyu interahamwe sijui limeibukia wapi?just go away tumechoka na hate zako
Nyie watus waasi mliomuua juvenaly ibryhmaana kiama chenu kmefka mlimuua prof.mwaikyusa baada ya kutoa ushaidi dhaiir kuwa kagame ni mtuhumiwa namba moja aliyesababsha mauaji ya kmbari lazma icc/the heague imuusu shame on u kagame umemuweka lockup na kumnyoa nywele mpnzan wako kisa mhutu ? mwsho wako umefka TANZANIA umegusa pabaya Tz jeshi la afrca na South Africa ulaya ya Afrca mtaturambua naskia mnajiaandaa kujtoa East Afrca mnaamia central afrca...tuwemwalka huyu kagame mpuuzi kwenye jumuiya ya East Africa anataka kututawala? ? Shame on u kagame utatujua
Upuuzi mtupu hata unachoandika wewe mwenyewe huelewi na ndio mliojaa wengi humu,kweli ujinga mzigo!!
imekuuma sana sio?. Young Tanzanian kaongea ukweli. mia