Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo
Kakalende,I like your signature.
Mkuu watch this space, Rwanda wanafanya vizuri lakini iwapo madikteta wazuri wanatakiwa, Gaddafi asingekuwa amejificha kwenye shimo la panya. All those investors going to Kigali, are eying Eastern DRC na waCongo wakitulia basi utakuwa mwisho wa prosperity ya Rwanda.
well, i don't know what to make from this news. maana at the end of the day serikali ya Rwanda ndio inatoa ela.
I like your signature.
Mkuu watch this space, Rwanda wanafanya vizuri lakini iwapo madikteta wazuri wanatakiwa, Gaddafi asingekuwa amejificha kwenye shimo la panya. All those investors going to Kigali, are eying Eastern DRC na waCongo wakitulia basi utakuwa mwisho wa prosperity ya Rwanda.
<br />$95m over ten years ina maana kuwa ni 9.5m kwa mwaka, ambazo ni sawa na pesa zinazotumiwa na Kikwete katika trip moja tu kujitembeza nchi za nje. Kwa Rwanda hiyo ni investement nzuri sana ya serikali kwa vile wana focus kwenye elimu katika masomo ambayo yanazalisha teknolojia mpya kwa haraka sana duniani: Electrical engineering, Computer Engineering, na Information Technology. Huenda wakapanua na kuongeza Biotechnology siku zijazo. Kwa vyovyote vile itabidi tukubali kuwa, in the long run, hiyo branch ya CMU hapo Rwanda itakuwa powerful kileimu kuliko vyuo vyote vilivyoko katika ukanda wetu huu!
Gama,Powerfull?!, yes powerfull: but in what terms?!. Nonsense.
<br />
<br />
Kweli kabisa, sijui UDSM kama wana mpago gani.Kwa vyovyote vile itabidi tukubali kuwa, in the long run, hiyo branch ya CMU hapo Rwanda itakuwa powerful kileimu kuliko vyuo vyote vilivyoko katika ukanda wetu huu!