Rwanda: Kizuri hujiuza na kibaya hujitembeza

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,297
18,896
Carnegie Mellon To Open Branch Campus In Rwanda.

The Wall Street Journal (9/15, Wonacott, Subscription Publication) reports that Carnegie Mellon University will open a branch campus in Rwanda in 2012.
The Chronicle of Higher Education (9/15, Wilhelm) reports, "The Pittsburgh-based institution will be the first American university to operate a full-fledged campus in Africa, said Kevin Kinser, co-director of the Cross-Border Education Research Team at the State University of New York at Albany, which tracks branch campuses worldwide. 'Africa is clearly an underserved region for international-branch campuses,' said Mr. Kinser, who is an associate professor in the university's department of educational administration and policy studies. The continent's educational needs are great, but the financing of large African programs is a challenge," Kinser added. The university "is receiving $95-million over 10 years from the Rwandan government to operate the program, which will start next year and initially offer master's degrees in information technology and in electrical and computer engineering. The university expects to enroll 40 students at first, eventually expanding to 150 by 2017."
 
Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo

I like your signature.

Mkuu watch this space, Rwanda wanafanya vizuri lakini iwapo madikteta wazuri wanatakiwa, Gaddafi asingekuwa amejificha kwenye shimo la panya. All those investors going to Kigali, are eying Eastern DRC na waCongo wakitulia basi utakuwa mwisho wa prosperity ya Rwanda.
 
I like your signature.

Mkuu watch this space, Rwanda wanafanya vizuri lakini iwapo madikteta wazuri wanatakiwa, Gaddafi asingekuwa amejificha kwenye shimo la panya. All those investors going to Kigali, are eying Eastern DRC na waCongo wakitulia basi utakuwa mwisho wa prosperity ya Rwanda.
Kakalende,
I beg to disagree. Hata kama Eastern DRC itatulia, Rwanda itaendelea kuwa conduit to that area. Kigali is closer to Bukavu than Kinshasa. Kwa hiyo Rwanda itaendelea kunufaika na maingiliano ya nje katika DRC.
 
well, i don't know what to make from this news. maana at the end of the day serikali ya Rwanda ndio inatoa ela.
 
well, i don't know what to make from this news. maana at the end of the day serikali ya Rwanda ndio inatoa ela.

$95m over ten years ina maana kuwa ni 9.5m kwa mwaka, ambazo ni sawa na pesa zinazotumiwa na Kikwete katika trip moja tu kujitembeza nchi za nje. Kwa Rwanda hiyo ni investement nzuri sana ya serikali kwa vile wana focus kwenye elimu katika masomo ambayo yanazalisha teknolojia mpya kwa haraka sana duniani: Electrical engineering, Computer Engineering, na Information Technology. Huenda wakapanua na kuongeza Biotechnology siku zijazo. Kwa vyovyote vile itabidi tukubali kuwa, in the long run, hiyo branch ya CMU hapo Rwanda itakuwa powerful kileimu kuliko vyuo vyote vilivyoko katika ukanda wetu huu!
 
I like your signature.

Mkuu watch this space, Rwanda wanafanya vizuri lakini iwapo madikteta wazuri wanatakiwa, Gaddafi asingekuwa amejificha kwenye shimo la panya. All those investors going to Kigali, are eying Eastern DRC na waCongo wakitulia basi utakuwa mwisho wa prosperity ya Rwanda.

Hata kama wanafuata raslimali za Kongo, bado utakubaliana nami kuwa Rwanda ni kizuri kinachojiuza. Iwapo Tanzania ingekuwa ni kizuri, basi wangekuja Tanzania kwa lengo hilo hilo la kufuata raslimali za Kongo au hata za Rwanda, lakini wanakwenda Rwanda kufuata Raslimali za Kongo, na huenda hata za Tanzania. Kuna mengi ya kuifanya Rwanda (nchi isiyokuwa na raslimali nyingi) iwavutie sana watu wa nje kuliko Tanzania na Kongo ambazo zina raslimali nyingi.
 
Powerfull?!, yes powerfull: but in what terms?!. Nonsense.
$95m over ten years ina maana kuwa ni 9.5m kwa mwaka, ambazo ni sawa na pesa zinazotumiwa na Kikwete katika trip moja tu kujitembeza nchi za nje. Kwa Rwanda hiyo ni investement nzuri sana ya serikali kwa vile wana focus kwenye elimu katika masomo ambayo yanazalisha teknolojia mpya kwa haraka sana duniani: Electrical engineering, Computer Engineering, na Information Technology. Huenda wakapanua na kuongeza Biotechnology siku zijazo. Kwa vyovyote vile itabidi tukubali kuwa, in the long run, hiyo branch ya CMU hapo Rwanda itakuwa powerful kileimu kuliko vyuo vyote vilivyoko katika ukanda wetu huu!
<br />
<br />
 
Kwa vyovyote vile itabidi tukubali kuwa, in the long run, hiyo branch ya CMU hapo Rwanda itakuwa powerful kileimu kuliko vyuo vyote vilivyoko katika ukanda wetu huu!
Kweli kabisa, sijui UDSM kama wana mpago gani.
 
Wabongo tuna kila kitu ili hatuna uwezo wa kuingia ubia na wathungu. Cha kufanya uanuza shamba unacheza mwali uaningia nje ya mji. Hapa ni kujifunza kifaransa tu kule kuatkuwa deal baadae
 
mimi nianze kwa kuwashangaa wanabeza maendeleo ya Rwanda eti ina watu wachache ndiyo maana inamaendeleo ya kasi.mi hoja yangu hapa ni kuasa tabia ya watanzania kutafuta jinsi ya kujilinda kwa hoja nyepesi tu!,watu wenye uelewa watakubaliana nami kuwa kigezo cha kupima maendeleo tunaangalia idada ya watu na mali hasili zilizopo.katika eneo la rwanda lenye idadi ya watu wanakadiriwa 11.4 million (2011).lakini pia wana rasilimali chache kulingana na eneo lao,jambo ambalo tunatakiwa kukubali ni kwamba WANATUMIA VIZURI RASILIMALI ZAO VIZURI KWA MANUFAA YA WOTE,nitowe mfano kidogo tu idara ya usafiri hawa watu wana usafiri wa uhakika ukianza na ndege tena wiki iliyopita tu wamenunua ndege mpya ambayo kwa afrika kwa aina hiyo ni ya kwanza.niwaulize wao kwa uchache wao na udogo wa nchi yao wamewezaje kununua na sisi kwa ukubwa wetu na watu wengi walalamikiji wavivu na mafisadi kila kona tunaendelea kuwalipa watu wanaotumia nyumba ya airtanzania kusomea magazeti bila kuzalisha chochote.mi ninaona shida kubwa hapa ni UWAJIBIKAJI .kama tukiwa na dhana ya kuwajibika kwa viongozi wetu na watendaji wote basi hizi defensive machanism hazitakuwepo.kuwajibika maana nini/
  • kila mtu afanye kazi kwa biidi kwa mujibu wa taratibu na sheria husika
  • mali za uma zitumike kwa manufaa ya umma
  • kiongozi awajibike kwa nafasi yake,hii itasaidia sana watu kuwa makini maana watakuwa na hofu kikitokea uzembe atawajibika kwa kujiuzulu mfano kama mwalimu mmoja amefanya uzembe huko mtwara akasababisha kifo cha mwanafunzi waziri aliyeko dar ajiuzuli kama alivyo fanya Mzee mwinyi na hapa rwanda ndipo wanatupiga gap wa si ukubwa au uchache wa watu.hapa kwetu mtu anaaribu idara hii kesho unamkuta kwingine atakuwa na hofu gani? mtu wa namna hii.waziri wizara yake inasababisha vifo vya watu malaki bado yupo tu.wenzetu wa japani mafuriko tu ambayo ni natural calamities lakini waziria alijiuzulu.lengu si kuwakomoa ila wawajibike na hii itasaidia sana kuwafanya wawe wakali kwa watendaji wao.
  • wasomi wasimame kama wasomi,ni aibu kubwa nchi yetu kuna halmashauri wenyeviti ni darasa la saba,si mbaya kama anauwezo ila mikataba kuijua haitaji kipaji lazima usome!,madiwani ambao ndiyo msingi wa maendeleo ni kawaida kukuta hajui ata kusoma huku mkurujenzi ana PHD hawa watasainishwa mikataba feki ata kama ni wazalendo.
hapa nina mengi ya kueleza ili nisiwachoshe nihitimishe hivi! nchi hii ya rwanda ni mfano nzuri wa kujifunza wala tusiwachukie naomba wadau mnisaidie tuichambuwe hii nchi ili tujuwe nini?kinawavuta mbele kwa kasi kubwa wakati sisi tunavutwa nyuma kwa kasi kubwa zaidi na kubaki na mikakati mizuri isiyo tekelezwa.
 
An excellent piece of advice especially to those who are busy complaining and accusing the Government for their own woes. Watu wanakaa vijiweni na kusubiri kupata mapato ya ujanja ujanja na unategemea kutakuwa na maendeleo. Hata katika utapeli huo, wanachokipata ni hand to mouth na matokeo yake ni kubaki kulaumu badala ya kufanya kazi sana, kuwa na financial discipline na kusomesha watoto ile wawe chachu ya maendeleo huko mbele.
 
Rwanda is a good example of Good Goverment! Japan, German and South Korea they dont have natural resources also but they have alot of good Human resources.

Facts about Rwanda.

1. Tough Laws on corruptions
2. Performance Contract with Ministers
3. Partnership between Goverment and Donors (Kagame a list of Rwanda's Frinds including Bill Gates who are personal advisers!, Stutbucks founder)
4. Young people are leaders in Rwanda. Alot graduate college in Tanzania between 1991-1997. This include Anti corrupt director, US and UN Ambassadors). This guys are basically born are rised in Tanzania!. Tanzanians run Rwanda as we speak!

Tough President, Young leaders , New approach to development and tough law on Corruptions are key to Rwanda sucess. Alot of people in Tanzania likes the status quo. Example the same people who are Doctors in Muhimbili are the same ones who are making money when a patient is going to India for treatments, same guys who are responsible for electricity are the one who set up Generartors shops all over Tanzania, Same Usalama wa Taifa who are supposed to fight for corruption are the ones who are the riches goverment workers for their deals!
 
Oh yeah and people will follow the laws because they are not free, they scared their leader has BLOOD in HIS HANDS

So they know the concequences...

Let our people stay in Kijiweni there are programs when CHADEMA take over will benefit the youth...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom