Rwanda itafaidika na nini kupokea wakimbizi toka Ulaya

Faida Ni Nyingi Sana Hasa Wanaelekea Miaka Kadhaa Mbele

Rwanda Itatazamwa Na Hayo Mataifa Walikotoka Hao Pia Baadaye Kuna Mchanganyiko Unataka Utengenezwe
lazima mchanganyiko utokee, kuna offspring watatokea, mind kuna waarabu, wasomali, waethipia, waafrika wa west african countries/states. Itakuwa ni mwingiliano wa ajabu wa tamaduni na dini na miaka ya mbeleni kutakuwa na wanyarwanda wa ajabu/machotara sio kama hawa tuliozoea kuwaona. Historia itakuja kutoa siri ya uingereza kwa nini ilifanya hivyo
 
labda wataleta maendeleo rwanda iwe kama ulaya. Hao wakimbizi wakifika rwanda watulie hukohuko, wasianze kutamani rasimali za mataifa jirani na kuanzisha ushenzi wa kutaka kuzipata isivyo halali
Hahahaaaa! Hivi hizo Rasilimali wewe binafsi unafaidika nazo kweli au ni porojo tu.
 
Hili nalo neno hukuwa mbali na mimi kimawazo hiyo ni Expansionism Theory
 
Poleni Kwa majukumu wadau

Kuna habari kuwa Rwanda imejipanga kuwapokea wakimbizi Toka ulaya. Ninacho dadisi ni je? Rwanda itafaidika kwa lipi?

Nawasilisha
Majibu.....

1. Inajihakikishia uaminifu kutoka kwa moja ya nchi ambayo ni Super Power duniani

2. Inajihakikishia hata kupata Msaada wa Kiusalama ( hasa ikiwa katika Mzozo ) na nchi mbili jirani za Wapumbavu

3. Kuja kwa Wakimbizi kutaongeza Rwanda kuonekana kwa Jicho la Tatu la Kimsaada toka WB na IMF

4. Kuja kwa Wakimbizi kutaweza kusaidia kuleta Ujuzi kwa Warwanda kwani Wakimbizi wengi huwa na Ujuzi mwingi

5. Kutasaidia Rwanda kupokea Miradi mingi ya Kusaidia hao Wakimbizi ambayo nayo itafadikia Kiuchumi

6. Itasaida Wanyarwanda Kuzaana na hao Wakimbizi ili kupata Cream ya Watu Werevu kutoka Watokako Wakimbizi

7. Inaithibitishia dunia na hata UN kuwa Rwanda ni sehemu salama kwa sasa hata huko nyuma ilikuwa Machafukoni

Nimemaliza.
 
Nimekupata mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…