Wahenga walisa "UKUJAMBA KWA HASIRA LAZIMA UTAJINYEA". Sie tuna bahari wao hawana. Watakao umia ni wanyarwanda wala sio watanzania. Hapo walifanya akili matope.Rwanda sasa imeamua kucheza rau kwa kwa kuanza kuihujumu bandari ta Dar es salaam kwa kupandisha ushuru wa barbarani kwa magari ya mizigo yanayotoka Tanzania PEKEEE. hii ni kuanzia Lusumo hadi Kigari. kutoka dola za kimarekani 125 hadi dola 500. KAZI IPO......!!!
Wahenga walisa "UKUJAMBA KWA HASIRA LAZIMA UTAJINYEA". ..
.
.
Aisee haka kamsemo kamenichekesha sana .
..but Kuna ukweli ndani yake🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
rwanda sasa imeamua kucheza rau kwa kwa kuanza kuihujumu bandari ta dar es salaam kwa kupandisha ushuru wa barbarani kwa magari ya mizigo yanayotoka tanzania pekeee. Hii ni kuanzia lusumo hadi kigari. kutoka dola za kimarekani 125 hadi dola 500. Kazi ipo......!!!
Ninawasikitikia sana hawa ndugu zetu kwani siasa za afrika mashariki zinaeleweka kuna kipindi uganda walikorofishana na kenya nao wakajuta kwa nini hakuna rail link kati ya tanga na ziwa victoria kama alternative option. Hawa jamaa hawana ujanja watapiga magoti tuu kwani wao wanatuhitaji sisi kuliko tunavyowahitaji waoRwanda sasa imeamua kucheza rau kwa kwa kuanza kuihujumu bandari ta Dar es salaam kwa kupandisha ushuru wa barbarani kwa magari ya mizigo yanayotoka Tanzania PEKEEE. hii ni kuanzia Lusumo hadi Kigari. kutoka dola za kimarekani 125 hadi dola 500. KAZI IPO......!!!
Rwanda sasa imeamua kucheza rau kwa kwa kuanza kuihujumu bandari ta Dar es salaam kwa kupandisha ushuru wa barbarani kwa magari ya mizigo yanayotoka Tanzania PEKEEE. hii ni kuanzia Lusumo hadi Kigari. kutoka dola za kimarekani 125 hadi dola 500. KAZI IPO......!!!
wewe waache hawa wenyewe watakuja tu,sisi chakufanya ni kuimarisha miondo mbinu yote pale bandarini ili iwe ya kimataifa zaidi watakuja na kodi tutapandisha zaidi bana ,siku ozte ukiwa na kitu kizuri bana wataeja watakuja wenyewe bana hahahaha,,watakufa wale ipo siku atatoka kigali hadi dar kwa magoti wewe mwache..kenya wenyewe na jeuri yao yote wagombea urais wao wamekuja kutafuta support bongo kwa nyakati tofauti sasa wanakaa vikao nakudisikasi vitu wanavyojua bila tz EAC hamna pale .''THE FRIEND OF YOU'RE ENEMY HE IS ALSO YOU'RE ENEMY''
mkuu ni kigari kigali??