Rwanda gets CNBC Africa studio at new East African headquarters

mchambawima1

JF-Expert Member
Oct 16, 2014
2,487
738
On 4 February 2016, CNBC Africa officially opened its East African headquarters and studio in Kigali, Rwanda, just ahead of the World Economic Forum on Africa taking place from 11-13 May 2016 in Kigali.
329886.jpg
CNBC Africa already crosses to Rwanda on a daily basis, as part of the network's extensive, live coverage of business and markets news across Africa.

Founder and vice chairman, Rakesh Wahi, noted that Rwanda has been rated as the 9th fastest growing economy in the world and the 3rd most competitive economy in Africa, according to the World Economic Forum Global Competitiveness Index. "It makes perfect sense to be part of this rising economic success story by adding Rwanda to our already extensive business presence on the continent."

The ABN group intends on building unmatched capacity for aggregating and disseminating business and economic news throughout Africa, with CNBC Africa serving as the flagship platform to do this. Roberta Naicker, MD of the ABN group commented, "As part of our strategic plans, we were looking at a place to establish an East African headquarters and Kigali has shown to be a great fit in terms of the group's strategy, bringing viewers more business insights from Rwanda and the greater East African region. Rwanda is a critical component of the East African community and we are excited to be able to highlight the region's business and economic opportunities."

Commenting on the process of setting up operations in Rwanda, Wahi observed, "Our first experience was in the ease of doing business, from being able to set up our company within a few days; consistent and well defined policies; easy access to government and business alike; excellent connectivity and competitive operating costs."



Cae5fIXXIAEdabm.jpg
 
teh teh teh very disrespectful news television. Bias and bad journalism at its best in front of people. CNBC left world a bad taste.
mh! i see, that's why you turned down their request to relocate their EA headquarters to Dar? maneno ya mkosaji hayo! sizitaki mbichi hizi...
 
We are smarter than you, CNBC is a business news channel and MSNBC is the democrats propaganda network. Same crowd though, both are extension of NBC. All friendly US dictators in Africa were supported, like Kagame was supported by Bill Clinton, a democratic president who gained access on minerals in DRC.
mchambawima1 do you want to know the relationship between Democrat and CNBC.?? Bill Clinton and Paul Kagame.?? As a result of CNBC doing business in Rwanda.??




hapana! nataka nihabarishwe kuhusu hii issue Burundi accused of hunting refugees in Tanzania camps kwa bahati nilikuwa nimempata mtu wa jikoni ndani(makambini) Stefano Mtangoo lakini uzalendo umemzuia ingawa kesha fukuzwa kazi, hii dunia...
 
Badala ya kushangilia TV za ndani, wanashangilia TV za mmarekani kufunguliwa ndani. Rwanda ina TV ngapi za ndani?
nikuhesabie? 1, 2, 3, 4, 5, ngoja, hivi umesema CNBC ni ya wamarekani? bado kidogo nayo niihesabu! sasa wewe je utakuja kwenu lini jMali opportunities kibao acha kudanganyana na hao ndugu zako FDLR... waambie mbabe wao Kagame hajaenda pahali!
 
We are smarter than you, CNBC is a business news channel and MSNBC is the democrats propaganda network. Same crowd though, both are extension of NBC. All friendly US dictators in Africa were supported, like Kagame was supported by Bill Clinton, a democratic president who gained access on minerals in DRC.
Smarter my azz,kilichokuuma ni CNBC kufungua ofisi Kigali au kuna kingine? akili za interahamwe ni matope tuu
 
Badala ya kushangilia TV za ndani, wanashangilia TV za mmarekani kufunguliwa ndani. Rwanda ina TV ngapi za ndani?
hazikuhusu..zinazokuhusu wewe ni zile AM hate radio zenu za mille collines sijui zimejifia wapi
 
Nawaonea huruma Wanyarwanda....!, Hayo ni maandalizi ya Wamarekani kumzika Kagame baada ya kumtumia kama walivyomzika Mobutu Ssesseko
 
Hawawezi kutangaza habari tofauti, kwa sababu walishaanza tangu 1994 kwenye uvamizi wa RPF nchini Rwanda wakitokea Uganda. Hiki kituo kilitumika kuupotosha ulimwengu kwa yale yaliyokuwa yakiendelea Rwanda. Ile propaganda ya "Rwanda genocide against Tutsi & moderate Hutu" ndio ilianzishwa na hii televisheni ili kutimiza malengo yao.
Si there is a background history on this
 
enhe! unapofika kwenye hii hatua ya karibu kujifukuza kwenye debate, basi najuta sana hata kukufahamu... ukiacha ukabila na chuki dhidi ya "watutsi" jMali anajiheshimu kidogo... tena hawa jamaa matusi kama ya watoto, nakosa la kufanya bali kukuvulia kofia tu! Koba
 
Hawawezi kutangaza habari tofauti, kwa sababu walishaanza tangu 1994 kwenye uvamizi wa RPF nchini Rwanda wakitokea Uganda. Hiki kituo kilitumika kuupotosha ulimwengu kwa yale yaliyokuwa yakiendelea Rwanda. Ile propaganda ya "Rwanda genocide against Tutsi & moderate Hutu" ndio ilianzishwa na hii televisheni ili kutimiza malengo yao.
haya tuhakikishie unayoyasema! labda nasisi twaweza kukubaliana na wewe.
 
kwanza naona unachelewa! kabla haujatuletea hizo unazoziita "propaganda za CNBC" ungeanza ukaangalia "live coverage" ya ndugu zako wakitimiza yaliyopo moyoni mwako! au nazo ni propaganda?
 
Hawawezi kutangaza habari tofauti, kwa sababu walishaanza tangu 1994 kwenye uvamizi wa RPF nchini Rwanda wakitokea Uganda. Hiki kituo kilitumika kuupotosha ulimwengu kwa yale yaliyokuwa yakiendelea Rwanda. Ile propaganda ya "Rwanda genocide against Tutsi & moderate Hutu" ndio ilianzishwa na hii televisheni ili kutimiza malengo yao.
teh teh teh CNBC imekuwa televisheni ya propaganda tena.?? Mbona mnaanza kujilinda bado mapema hivi.!! Wakati mnaikaribisha mlikuwa hamjui hilo.!!
kila siku huwa nakuambia unaongea ilimradi tu uongee, kiasi kwamba unasahau hata uliyoyasema!
 
Hivi wewe jamaa unafahamu lugha ya kiswahili kweli.?? Kwanza utoe hiyo avatar ya baba wa taifa letu, uweke ya Kagame muuaji mwenzio..
upende usipende ni baba wetu wote, lol! Kumbuka katulea na ana medali yake huku Rwanda... Kagame naye zamu yake itafika, usijali! hao watu wawili nawaheshimu sana! 1) Nyerere(RIP) 2)Kagame! wote nilikuwa niwape namba moja lakini haiwezekani kwani Kagame ameweza kumshinda Nyerere kwenye kutokomeza umaskini ndani ya amani na Nyerere(RIP) kamshinda Kagame kwenye kutochelewa kuwasaidia mchana kweupe (kiwaziwazi) wale wanotaka kujikomboa kutoka kwa wanyonya damu kama NKURUMBI! shukuru Mungu mimi sio Kagame kwani ningekuwa mimi basi pangechimbika... wale wakimbizi wote sasa hivi wangekuwa mpakani wanamuadabisha Nkurunziza, unataka kuongoza kiukabila karne hii? nakuambia shukuru Mungu sio mimi raisi, angejutia maamuzi yake ya kuongoza bila hisani ya wananchi na kutupa shimoni makubaliano ya Arusha, BTW initiated by MWALIMU.
 
teh teh teh mikwara kibao.!! Hakuna kitu kama hicho wewe, ni unafiki tu ndio umewajaa. Rwanda ilikuwa na maendeleo yake hata kabla ya uvamizi wa RPF.
kwani nani kakukatalia? unafikiri lilikuwa jangwa/pori lisilo ishi watu? acha kujifedhehesha bwana, kama hauna swali au mchango siukae kimya!
 
Ebu tazama ulichokiandika hapo juu, yaani jitihada za Nyerere kuondoa umasikini unazifananisha na juhudi za kamanda wa RPF.?? Nyerere ameichukua hii nchi kutoka kwa wakoloni, huyo kiongozi wa RPF ameichukua hiyo nchi kutoka wapi.??

Yep, hata sisi tumeichukuwa kutoka kwa wauwaji! tena kwa bahati mbaya Nyerere(RIP) hakufanikiwa katika hilo swala! kwa mfano vijiji vya ujamaa na kujitegemea (decentralisation) alifika huku wakati tunaanza kujipanga akashangaa tulivyofanikiwa ndani ya mda mdogo tu... yeye aliona cha muhimu ni kuanza kuwafundisha watu wake kitu cha msingi kabisa! ambacho ni UMOJA pamoja na kutokula rushwa huku akijuwa umasikini ni jambo dogo hata nyie wenyewe mtalitatuwa huko mbeleni, kumbe masikini ya Mungu alikuwa hajuwi kama kaiacha nchi mikononi mwa wapiga madili... ndugu yangu kwa sababu ya delay, vyote huku ni priority... hard to imagine but you need to come and explore our beautiful country of a thousand hills
 
Back
Top Bottom