Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Hata usemeje, inaonesha maambukizi ya vvu ni makubwa nchini rwanda.Hapo umemweka sawa huyo, hawa ndugu zetu Kingereza kiliwakataa, na ndio maana unaona wengi hukurupuka kwa ubishi usio kuwa na mantiki kwenye mada kama hizi.
Hata usemeje, inaonesha maambukizi ya vvu ni makubwa nchini rwanda.
Wewe unadharilisha huyo jamaa kwenye avatar yako, mahali Einsten alipo, akisoma hizi kauli zako lazima atahisi aendelee kufa tu huko huko alipo.Mkuu,Hao watu kwa kupenda sifa hutowaweza
Mbona wengine wameweza?Ungeniambia Sudan kidogo ningeeelwa ,Rwanda hao watoto wazuri watasalimika vipi ??
Wengine wapi hao wa Afrika hii ?Mbona wengine wameweza?
Ooooh kumbe benchmark yako ilikuwa Afrika. Haya sawaWengine wapi hao wa Afrika hii ?
Ndio Mkuu maana naona mawazo yako yalihamia Spain na BrazilOoooh benchmark yako ilikuwa Afrika. Haya sawa
Hahahahaha sio mchezo warembo wa huko mkuuNdio Mkuu maana naona mawazo yako yalihamia Spain na Brazil
Haha ni balaa si umemskia Donald Trump alivyotupa makavu ,yaani watu weusi tuna laana ya kutafunanaHahahahaha sio mchezo warembo wa huko mkuu
Upande huo kwa kweli tumejaaliwa hata wazungu wanamaind sana wanawake wao wanavyowapenda blacks.. Ila sasa upstairs mwehHaha ni balaa si umemskia Donald Trump alivyotupa makavu ,yaani watu weusi tuna laana ya kutafunana
Upande huo kwa kweli tumejaaliwa hata wazungu wanamaind sana wanawake wao wanavyowapenda blacks.. Ila sasa upstairs mweh
Wewe unadharilisha huyo jamaa kwenye avatar yako, mahali Einsten alipo, akisoma hizi kauli zako lazima atahisi aendelee kufa tu huko huko alipo.
USA Mpaka leo haija achieve AIDS-Free generation sembuse Rwanda
Hata usemeje, inaonesha maambukizi ya vvu ni makubwa nchini rwanda.
Nani kakudanganya USA kaongoza takwimu zote?
Soma taarifa uelewe fasihi vizuri.Wamesema 95% ya wanawake wanaojifungua hospitalini ni HIV free. Kwa nini basi uwakatae azma ya kufika 100%. Labda utuambie takwimu za bongo.
Inawezekana kama watu tutaamua kufunga zipu na kutokuvua vyupi kiholela,ni mindset tu hapo.Kuna ulazima gani kuwa ukienda nchi fulani kwa shughuli yoyote ile ufanye hayo mambo?.Fanya kilichokupeleka ukimaliza rudi kwenu.Kipindupindu Hakizuiliwi kwa kufanya usafi Barabarani tu.
Kitu Ambacho wewe Hukielewi ni kwamba,watu sio Fixed kama Miti,Bali wanamigrate kila siku
Mtu A ambaye ni HIV- anaweza kutoka rwanda na kwenda TZ,na akarudi akiwa HIV+.
Point yangu ni kwamba,hamuwezi kutengeneza HIV-Free generation kama Bado kuna Muingiliano wa watu.
Hatupo kwenye darasa la lugha, na ingelikua kweli, basi ulichokiandika hapa kitamtia kichefuchefu mtaalam wa lugha. Maana una matatizo kwenye ufasaha, hujui jinsi ya kutumia herufi kubwa, alama ya kipumuo, kikomo n.k.Jifunze kwanza kiswahili vizuri.
kisha onyesha Mahusiano yoyote yaliopo kati ya Hiyo comment na Albert
Mwisho,Msipende sifa za kijinga Hamtofika kokote
USA Mpaka leo haija achieve AIDS-Free generation sembuse Rwanda,nchi ambayo haina uhakika wa Amani ya kudumu kwa 100%
Nani kakudanganya USA kaongoza takwimu zote?
Soma taarifa uelewe fasihi vizuri.Wamesema 95% ya wanawake wanaojifungua hospitalini ni HIV free. Kwa nini basi uwakatae azma ya kufika 100%. Labda utuambie takwimu za bongo.
Nani kakudanganya USA kaongoza takwimu zote?
Soma taarifa uelewe fasihi vizuri.Wamesema 95% ya wanawake wanaojifungua hospitalini ni HIV free. Kwa nini basi uwakatae azma ya kufika 100%. Labda utuambie takwimu za bongo.