MUKAMASIMBA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,655
- 362
ok noted ,but stay alert all the time
... Sisi Huku Tunalindwa Na Mungu Tu. Make Serkali Imerara Tu
... Sisi Huku Tunalindwa Na Mungu Tu. Make Serkali Imerara Tu
Mbona jina lako ni kama Mrundi au Mnyarwanda?
Imani Yangu kwa serikali ya dictator PK ni ndogo sana, sidhani kama gvt hii inaweza kupayuka ukweli juu ya jambo baya kama hili.
Thank you Jesus, kwasababu sisi ikiingia wakati hela zote zimepelekwa Bungeni tutaisha kabisa.
Unasema " imerara"!!!!!?????, .... Sisi Huku Tunalindwa Na Mungu Tu. Make Serkali Imerara Tu
ahaahhaha...mbona mgonjwa mwenyewe ni mzungu(german) labda angekua mnyarwanda tungesema kunakuficha...huwezi ficha ugonjwa kama huo au huyo mzungu kufa bila kujulikana....dunia nzima inafuatilia kwa makini sana,hapo hakuna uongo.