ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Nov 27, 2011 #1 cheki hii kitu.. Attachments Vanpersie.gif 1 MB · Views: 227
driller JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 1,116 Reaction score 246 Nov 27, 2011 #2 cheki hata kuanguka kwake sio kama wakina naniiiii wetu hapa home....! wanaanguka kama gunia la dagaa limerushwa kariakoo kutoka kwenye fuso
cheki hata kuanguka kwake sio kama wakina naniiiii wetu hapa home....! wanaanguka kama gunia la dagaa limerushwa kariakoo kutoka kwenye fuso
njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,259 Reaction score 7,108 Nov 27, 2011 #3 Van magoli.. hiyo pasi anayotoa ni nomah ...
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Nov 27, 2011 Thread starter #4 njiwa said: Van magoli.. hiyo pasi anayotoa ni nomah ... Click to expand... katoa pasi au kaukosa mpira..
njiwa said: Van magoli.. hiyo pasi anayotoa ni nomah ... Click to expand... katoa pasi au kaukosa mpira..
K kajunju JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 999 Reaction score 318 Nov 27, 2011 #5 He is a clinical finisher with outsanding performance ths season.keep it up Rvp
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 19,094 Reaction score 9,261 Nov 27, 2011 #6
MKUNGA JF-Expert Member Joined Dec 10, 2009 Posts 441 Reaction score 72 Nov 27, 2011 #7 Naona arsenal mpo kwenye peak, wakianza kuumia tu ugonjwa wa moyo unarudi. But hongereni