Unamsusia NGEDERE shamba la mahindi? Nini unategemea? Kususa hakujawai kumuacha mtu salama.
Upinzani ulipoteza dira toka uchaguzi wa mwaka 2015.
kuanza moja sio mbaya, tujipange tutengeneze SERA zenye mvuto.
UKWELI SIONI DALILI ZA UPINZANI KUSHINDA CHAGUZI ZA HAPA KARIBUNI.
KWA HOJA AU SERA IPI?
MWAKA 2019 na 2020 sio mbali vizuri upizani ukajipanga.
Hivi ni visingizio vya kocha wa timu ya Kilimanjaro Stars.
Uwanja tumewachi nyie wababe,mambo ya kutekana,kupigwa,kuumizana hatuyawezi
Ova
Sawa.Watu washawapotezea maana kama kanuni za mchezo zimewashinda mnataka watu washiriki nini? Vyama viko rafiki kibao, mnaweza shindana hata kikabila na kikanda huenda huko kukawa ba ushindani.
Mimi Mwenyezi Mungu kanipa Mtihani kidogo, bado sijabarikiwa watoto!!!
Umehamisha magoli naonaHusiwe unaniweka kwenye makundi unayowasingizia nisio wajua..
Mimi sina Chama.. ni mshabiki tu wa awamu hii ya JPM.
Inshallah.Ondoa Ofu.. endelea kumuaminia wala usiifikirie sana as haitakiwi na mwenza wako mpe amani usiyaongelee nae kabisa.. mumtumainie na yatakuja kupita.
Nakundondoshea baraka ubarikiwe kupata namba ya wanangu na kuizidi katika jina la Yesu Kristo.
Usisahau kunipa feedback mwakani mwezi huu.
Hata kichaa hawezi kuandika huu utumboWafute tu chama chao wakae vijijini walime.
Upinzani.fuvu.com
Ndugu msipende kulaumu na kutupa shutuma kwa vitu msivyovijua... Hivi tujiulize ni lini CDM ilishawahi kuwasilisha malalamiko yake Tume ya Uchaguzi kulingana na sheria inavyooelekeza? Malalamiko yote ya CDM wanayatoa kwenye vyombo vya habari, So mlitegemea Tume ifanye kazi kupitia vyombo vya habari wakati kuna sheria inayoelekeza utendaji wa Tume ikiwemo hili la kushughulikia malalamiko yanayotokana na uchaguzi. Halafu kama walionewa kwenye uchaguzi mbona hawapeleki Mahakamani? mi nachoona hawa jamaa wameona kuliko kuendelea kupata aibu kwenye chaguzi kwa kushindwa ni bora ionekane hawakushiriki uchaguzi kabisa.
huyo unaemulaumu ni mtendaji na sio mwanasiasa, yy anafanya kazi kwa mujibu wa kanuni na sheria zilizopo, tuwaombe wabinge wetu wa upinzani wapeleke hoja bungeni ya kurekebisha hizi kanuni kama hazifaiKuna mpuuzi mmoja anajiita Ramadhan.....ni mpuuzi sana amewekwa pale kwa maslahi mapana sana ya walio madarakani....kazi yake kuwasulubu wapinzani........wakatae kabisa kwenda uchaguzi mwingine tena....wawaachie fisiem wapite tuuu la sivyo watakuwa wanawasindikiza maana policcm ndio wanawasaidia sasaaa
Umehamisha magoli naona
Ova
Hata kichaa hawezi kuandika huu utumbo
Mkuu kwa mawazo haya, chama chenu kitakufa sasa.Yap vipo vyama ambavyo si vya upinzan bali vina pingana na upinzan kama vya kina DOVUTWA na CHEYO hivyo vitashiriki tu maana ni mawakala
Ah we Nenda tu mm nimezaliwa automaticaly mpinzaniLini ulinipa kadi ya Chama!?
Njoo unisindikize nikachukue tumpigie kura JPM 2020 kwa furaha..
Hahahaaaa kikifa si ndio furaha kubwa kwa chama tawala kwani manunuzi haya ya sasa lengo ninini??Mkuu kwa mawazo haya, chama chenu kitakufa sasa.
haya haya kumekucha
Zikiwa zimepita siku chache baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA na Mwenyekiti mwenza wa UKAWA Mheshimiwa Freeman Mbowe kutangaza kutoshiriki uchaguzi mdogo wa ubunge na udiwani utaofanyika Januari 13, mwakani kwa majimbo matatu na kata sita chama hicho mkoa wa Ruvuma kimetangaza kuunga mkono tamko hilo na kutoshiriki uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Songea mjini.
Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoa wa Ruvuma Bw. Erenius Ngwatura amesema wanaunga mkono tamko lililotolewa na Mwenyekiti wao wa taifa wa CHADEMA Mheshimiwa Freeman Mbowe na kubainisha kuwa uchaguzi wa udiwani uliopita kwa kata 43 uligubikwa na dosari kadhaa.
Kaimu Katibu wa CHADEMA jimbo la Songea mjini Bw.Masumbuko Mbogoro ansema sababu nyingine ya wao kujitoa kushiriki uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Songea mjini ni kutokana na maombi yao kwa tume ya uchaguzi ya kutaka uchaguzi usogezwe mbele kutosikilizwa.
CHANZO: ITV
mapambano yameishia Ufipa?kwi kwi kwi!!Tupambane kudai Tume Huru pamoja na kudai mabadilio ya sheria za uchaguzi.