kwani members wote wa baraza la usalama la kenya unawajua? chebukati kawataja kwamba walimtembelea saa 9 usiku kufosi kubadili matokeo na Tuju kakubali, hadi IGP kajipa likizo ya matibabu, wako hajakanusha madai mazito kama hayo sema wewe ndiye unakanusha kwa niaba yake
members kadhaa wa national security council walikuwepo akiwepo huyo state attorney wa zamani, amos wako
sasa ndo hivyo basi kambeba Raila mgongoni lakini wale wazee wa zamani wanakumbuka kiapo walichoapa mbele ya baba yake uhurumzeekenyata KWAMBA HAKUNA KUWAPA NCHI MAGOVI YASIYOTAHIRIWA YA KIJALUO
Haina shida tusubiri, uchaguzi uliopita dosari kubwa ilikua ni IEBC ilishindwa kuthibitisha matokeo ya kwenye vituo kwenye form 34A ni sawa sawa na yale waliyokuwa nayo kwenye national tallying center, pia walishindwa kutoa access ya server, round hii vyote hivyo vipo
Awaunganishe nini wakati miaka yote wako hivyo. Kama kuna uchaguzi unaoonekana wa amani ni huu, kila MTU amechoka na malalamiko ya Raila kuibiwa kuraNaona ni kama Kenya imegawanyika nusu kwa nusu Raisi atakaeshinda ana kazi ya kiwaunganisha Ndugu zetu Wakenya.
Unajua
Unajua gavana WA nairobi ni nani? Acha kukariri
Awaunganishe nini wakati miaka yote wako hivyo. Kama kuna uchaguzi unaoonekana wa amani ni huu, kila MTU amechoka na malalamiko ya Raila kuibiwa kura
Rutto is energetic bana kwamiaka 3 ya mwisho alitengwa kabisa, naamini ataipeleka kenya mbele ,yule mzee hata kwenye misa anasinzia? Raila project ya Uhuru ili aendelee kutawala through backdoor
Au walitaka atawale mwaka mmoja wamle kichwa makamu wake Martha karua achukue nchi wamuendeshe kwa remote control
unawaelewa wazeee wa zamani? kama kweli wakikuyu wangekuwa wanamuheshimu uhuru ,Ruttto asingepata hata nusu ya alizopata huko mt kenyaUnajielewa kweli?. Yani kiapo ndio wanachoangalia na sio mabadiliko.
Demokrasia imefeli, huu uchaguz wa Kenya umedhihirisha hilo. Hapa akina putin and co watapata cha kuzungumza.Naam ile nchi jirani iliyojipambanua kwamba ina majaji wenye akili timamu na judiciary yenye nguvu jumatatu inaweka historia nyingine kwa kuendesha kesi nzito ndani ya siku chache na kutoa maamuzi
Kesi hiyo ambayo kuna baadhi ya nchi majaji kama wangepewa waisikileze basi kila dakika wangekuwa kwenye simu kupata malekezo kutoka juu imekuwa na mvuto hadi katika nchi yenye matatizo ya kuibia watu bando la internet
Naam Baba Raila byebye kwishney , mtaalamu wako wa IT bwana Njoroge kakusaliti vibaya sana ka mislead ma lawyers haswa miss soweto wakajichoresha mahakamani,Ruto hatari sana
View attachment 2343408View attachment 2343409View attachment 2343410
In short bro nilikuwa huko kipindi chote cha matokeo yalipotangazwa....at least hali ilikuwa shwari unlike other elections!!!!. Watu wengine washarejea kazini na shule zimefunguliwa.Mwaka huu ndio malalamiko yanatakiwa kuwa mengi maana it was a tight race. Sasa kwenye tight race ambakao mnaachana asilimia moja tu, Kuna walakini. Halafu Kuna Raia sita wakenya pia wamefungua kesi ya kupinga matokeo sio raila pekee yake.
mahakama iko nairobi au kinondoni? majaji wapi sasa we mzeeee? embu tumia akili bana tunazungumzia majaji wa kenya, kuna jaji hapa atapingana na kauli ya mwigulu kwamba wananchi wanaifurahia tozo na waliipendekeza?
unataka akose marupurupu?
Ila katibu wa chama cha Raila TUJU kakiri kuwepo, unafikiri ni kwa nini IGP kajipa likizo ya matibabu kabla ya kesi kuanza? unafikiri ni kwa nini siku ile chebukati anazongwazongwa ,laptops na simu zinapokonywa mikononi kwa wafanyakzi wa IEBC na kina esther pasaris ni assistant iGP ndiye alifika pale na kutuliza hali ya mambo hadi matokeo yakatangazwa?Hawajataja hata mjumbe mmoja wa security council. Unamuamini chebukati huyu aliyeharibu uchaguzi wa 2017 mpaka ukafutwa na mahakama ya juu. Mahakama imeiiuliza IEBC kwanini imeharakisha kutoa matokeo wakati walikuwa na siku moja ya kutoa tofauti zao.
So Akawa Rais?😂😂Mbona uchaguzi uliopita alishinda kesi uchaguzi ukafutwa?.
jaji mkuu aliyepo keshatoa kauli za utata sana hadi inatisha aliwekwa kama naibu jaji na JPM kwa kipindi kirefu kumbe kulikuwa na lengo maalumu , so sadTanzania hatuna majaji. Wote wapo in favour ya Rais. Wenzao wanaendesha kesi ya uchaguzi wa urais kwa siku tano lakini wenyewe kesi ya akina Halima Mdee itachukua miaka mitano, ila kumfurahisha Mwenyekiti wa CCM. I admire Kenya politically and judiciary
Kutokuwepo kwa agents haimaanishi kuwa ndo uibiwe kura sasa!.Ruto kacheza hii game smart sana, leo ushahidi wa huyo njoroge uliotumiwa na ma lawayers wa Raila umegeuka kichekesho
Raila kaangushwa na vingi, hakuwa hata na ma agents karibu asilimia 50 ya pllling stations, kina Joho, Junet Mohamed walikula hel ya agents wakaweka nguvu mombasa tu na kuna mazungumzo ya simu walirekodiwa wakimkebehi Raila
Subiri jumatatu baada ya hukumu timbwili litakalozuka huko azimio
kwa conclusion ya leo ya jaji mkuu Koome naona kama jumatatu atakataa madai ya servers kudukuliwa sababu forms physically zilihesabiwa ila atashauri tume ya uchaguzi ifanyiwe marekebisho
so? au umesahau kuna laana ya miaka na miaka inayomuathiri kipenzi chenu Raila?
hahahahaha bro hizo hoja zote kuhusu servers zimedunda, forensic analysis imeonyesha hakukuwa na shida hata chief justice koome alisema hilo, wasubirie tu jumatatu wajaluo wenzake wa kisumu wachome mji waoKutokuwepo kwa agents haimaanishi kuwa ndo uibiwe kura sasa!.
Wizi ni wizi!
Ile fomu ilikuwa inafanya nini kwenye servers za IEBC?
UNA AMINI WEWE SIO WANAVYOAMINI MAJAJINaam ile nchi jirani iliyojipambanua kwamba ina majaji wenye akili timamu na judiciary yenye nguvu jumatatu inaweka historia nyingine kwa kuendesha kesi nzito ndani ya siku chache na kutoa maamuzi
Kesi hiyo ambayo kuna baadhi ya nchi majaji kama wangepewa waisikileze basi kila dakika wangekuwa kwenye simu kupata malekezo kutoka juu imekuwa na mvuto hadi katika nchi yenye matatizo ya kuibia watu bando la internet
Naam Baba Raila byebye kwishney , mtaalamu wako wa IT bwana Njoroge kakusaliti vibaya sana ka mislead ma lawyers haswa miss soweto wakajichoresha mahakamani,Ruto hatari sana
View attachment 2343408View attachment 2343409View attachment 2343410
Yaani ni afadhali ya Uganda kwa Museveni? No ! Demokrasia ina changamoto zake lakini afadhali kuliko udiktetaDemokrasia imefeli, huu uchaguz wa Kenya umedhihirisha hilo. Hapa akina putin and co watapata cha kuzungumza.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app